My opinion ni kwamba they should have the same right as everybody else (kuoa, kuzaa, kutobaguliwa na mengine)
Nasikitika sana ninapoona mtu competent kabisa anachukuliwa kirahisi just because he/she is an homosexual.
Ningependa serikali iwatambue na iweke sheria za kuziwia unyanyasaji wao
Pia ningependa sana kama leaders (religious, political) wangeacha kuwa-treat like mutants, devianats, psycho etc.
Upande mngine hii ni vita yao wenyewe, hakuna mtu atawapigania kama hawapigani wenyewe. stand up for your rights 😛eace:
First you should say what rights they are being denied, and who deny them. Or you should mention their rights and tell how, who and where a gay man or gay woman has been denied the right. Au unataka tuwe gay bars, gay hospitals, gay schools, waruhusiwe kuoana, wawe nakitchen party, kuwe na mbunge anayewakilisha ma-gay Tanzania, ifike siku tuseme kuwa ni zamu ya gay kuwa rais, au kuwe na special rights ambazo kwa sasa hawazipati?
Kama ni ubaguzi upo katika sehemu mbalimbali, kuna ubaguzi wa kijinsia, wa kidini, kielimu, kiuchumi etc, so kama wewe unaona wanabaguliwa, they are not alone.
You have mentioned mutants, deviants and psycho. What do you mean by deviant? Lest us define it as a person who goes against norms and practices which are accepted by general public. Where does this definition put them? Psycho...something to do with mental unfitness. What are salient features which make a psycho psycho. Mkuu ukiangalia hayo maneno unayotumia, kutokana na tafsiri zake, naweza kusema wanafiti kote. Na hii sio restricted kwa gays tu, depends on how you want to spin it.
Watanzania katika mila na desturi zetu, kuna mabazo zimejengeka kutokana na utamaduni wa kikabila, kune zile zinazotokana na dini na kuna zile zinazotokana na mazoea ya kila siku na mambo ya kurithi. Tutazifuata mila na desturi zetu regardless of what serikali or what laws says. Kama sisi wenyewe tukiona hazifai tutaziacha.
Suala hili bado ni debatable ni vigumu kupata tafsiri za maneno mengo yanayowahusu watu hao. Ni vizuri tuliache kama lilivyo sasa kuliko kuanza kulichokonoa. Kwa sasa masenge na masagaji yana haki kama matanzania mengine, hakluna haki ambayo straight mtanzania anapata ambayo gay mtanzania ananyimwa kisheria, labda kuoana.
Kama kweli itathibitika kuwa mtu ni in-born gay, na hakuna posibility ya kuwa straight hata kama anapenda, kama kuna kitu anapenda asizuiwe kisheria. Lakini kama mtu ni straight kwa kuzaliwa, halafu anafanya u gay kwa kujifunza, anakuwa anaenda kinyume na matarajio ya jamii. Na anavuruga balance na anahatarisha njia ya kupopulate na nchi na kuifanya iwe more sociable. In a way ni sexists, wanakuwa wanahatarisha haki za straights. Kama gay man yuko na straight man, ina maana straight woman mmoja ata-suffer. So tukianza kuingia kwenye mambo ya sheria, siasa, dini basi watakutana na vigingi vingi sana.
Ukiangalia hapa Tanzania utaona kuwa idadi kubwa ya magay wanatoka katika jamii fulani na maeneo fulani na makundi fulani, inabidi ujiulize kwa nini wengi wanatoka pwani zaidi, mbona bara ni mmoja mmoja sana? is it because wabara ni washamba au? Mtoa mada jina lake linaonesha kuwa anauelewa fulani kuhusu kitu hiki labda anaweza kutufadanilia zaidi.