Doctor kakimbia mji baada ya kunusurika kuuawa na aliyekuwa mke wake

Dp why usiandike nesi tu, mpk useme ametoka kaskazini???

Tumekukosea nn lkn??
Niwie radhi,
Story ili iwe na mtiririko mzur wa matukio kutaja location ilkua Ni muhimu sn dada angu

Ningetaja mkoa exactly,
Ila kuondoa sintofahamu na kuwagawa Watu nikaamua kutaja jumla jumla TU kua Ni kaskazini (ke) au kusini (me)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaendelea kuwakumbusha wanaume na vijana wa kiume "Mahusiano ya kimapenzi na single mothers hayafai" au mahusiano na mume au mke ambaye tayari amezaa na mwingine kisha wakatengana hayafai. Mwenye akili na aelewe!
Tuwe Makini na generalization mkuu
Uyu nesi hakutengana na aliyekua mumewe, Bali alifariki kwa kisukari ndo jamaa akajitosa kwny mahusiano nae



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si vyema kutaja makabila, tubakie kwenye muktadha wa mleta mada. kama kuna la kujifunza basi tujifunze na tusilete ukabila au kutaja makabila kwa hisia zetu. [emoji116]
Asante sn kuniunga mkono ktk Hilo mkuu[emoji1431]
Zama hizi tukianza kubaguana kisa ukabila na makabila itakua haipendezi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda sana uandishi wako kaka...ni very creative yaani.... unapoanza kusoma unaweza hisi ni kisa fulani kifupi tu labda page moja au mbili kumbe ni mtiririko wa hadithi ndefu ila isiyochosha kusoma.....keep it up and big up....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…