DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
- Thread starter
- #81
Yah!Daah...hivi unauwa kisa mapenzi?!!Kuna Wanawake mashetani sana
Baadhi ya wanawake Wana roho ngumu sn
Can you imagine mwanamke anaendesha genge la utekaji na mauaji kisa mapenz[emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app