Doctor kakimbia mji baada ya kunusurika kuuawa na aliyekuwa mke wake

Doctor kakimbia mji baada ya kunusurika kuuawa na aliyekuwa mke wake

Naomba link ya ule uzi,kuhusu aLietembea na binti wa kizungu,akaforfe kifo,nimeutafuta sana sijaupata
 
Naomba link ya ule uzi,kuhusu aLietembea na binti wa kizungu,akaforfe kifo,nimeutafuta sana sijaupata
Huu Hapa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Single Maza na Afande ni vitu usije viamini kabisa.
Watu wa Mikoa ya nyanda fulani usiwaamini kabisaa.
Nimecheka pale nesi anasema "Nna intelijensia Kali "
 
Ila deep pond story zako zinafundisha hauwezi kufanya nanna ukaandika vitabu vya story au muvi mbona zinavutia sn na unajua kusimulia ukawa director kabisa hiyo frusa mzee.
 
Daah...hivi unauwa kisa mapenzi?!!Kuna Wanawake mashetani sana
 
Kama ni kweli mkuu.. basi mwanamke akiamua kuwa katili hakuna cha kumzuia.
 
Back
Top Bottom