DOCTOR: Kwa Damu yako hii na Mke wako, Kamwe Hamuwezi kupata mtoto/watoto!


thanks sana. Na je, kuwa na blood group + au - ndo kunaashiria kuwepo +rhesus au -rhesus respectively?
 
DaAh nitarudi tena
"Vox populi vox dei"
 
Pole sana mkuu ila jaribu kupitia hii link hapa Matching Blood Groups For Marriage-Blood Groups That Do Not Match For Marriage
 
thanks sana. Na je, kuwa na blood group + au - ndo kunaashiria kuwepo +rhesus au -rhesus respectively?

Uko sahihi mkuu,ukiambiwa wewe ni o+,maana yake unayo rhesus factor(simply blood proteins au rhesus proteins),ukiambiwa wewe ni O-ve,ujue huna hizo mambo...hope tuko pamoja.
 
Kwa upande wangu mm nina B+ na mchumba wangu hivyo hivyo tunaweza oana msaada pls
 
Pekua pekua yangu ya Biology, sikumbuki notes zinazosema +ve na +ve hawaendani.....yule mwalimu alinilisha kasa nini?

kaka usikate tamaa mapema hivyo, hata hivyo mwaka mmoja na kitu naona sio muda wa kukata tamaa. Jaribu kuwatafuta madaktari bingwa wa akina mama, watawasaidia.
 
Pole sana.
Mi nawajua wamama kibao huwa wanafiwa na watoto wachanga na wengine mimba hata tatu, lakini baadae wanazaa mfululizo.
Wengine wanasema sababu ya mimba kuharibika aidha ni kwasababu alikua anatoa mimba au tumia madawa ya kuzuia mimba.
 
...................... Dr. ni mwanadamu aliyeumbwa na MUNGU, ni sawa kutafuta ushauri ili uelewe kisayansi hali inasemaje then mwombe MUNGU aingilie kati.
 
Akishafanya utafiti arudi kutupa majibu. Fanya vyote ulivyoshauriwa. Poleni sana
 
Uko sahihi mkuu,ukiambiwa wewe ni o+,maana yake unayo rhesus factor(simply blood proteins au rhesus proteins),ukiambiwa wewe ni O-ve,ujue huna hizo mambo...hope tuko pamoja.

thanks sana.Natumia simu or else wouldve gven a like.
 
Nenda Bugando onana na Gynaecologist mmoja anaitwa Dr. Ng'walida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…