Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama uko Dar Es Salaam nenda Hospitali ya REGENCY, kuna profrssor wa maswala ya ngozi mzuri sana. kwa bahati mmbaya sikumbuki jina lake wala siku anazo patikana kwani imekuwa siku nyinghi sana toka nilipo mpeleka mwanagu baada ya kuhangaika kwa muda mrefu sana na kupona ndani ya wiki moja tu.Jamani natafuta doctor mzuri wa ngozi kwaajili ya kuondoa madoa meusi usoni au kama kuna mtu anajua dawa yake tafadhari msaada
Jamani natafuta doctor mzuri wa ngozi kwaajili ya kuondoa madoa meusi usoni au kama kuna mtu anajua dawa yake tafadhari msaada