Doctor mzuri wa ngozi

Doctor mzuri wa ngozi

Enny

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
962
Reaction score
130
Jamani natafuta doctor mzuri wa ngozi kwaajili ya kuondoa madoa meusi usoni au kama kuna mtu anajua dawa yake tafadhari msaada
 
Ni vizur uka hudhuria clinic ya ndoz ili uangaliwe kwa ukaribu zaid
 
Jamani natafuta doctor mzuri wa ngozi kwaajili ya kuondoa madoa meusi usoni au kama kuna mtu anajua dawa yake tafadhari msaada
kama uko Dar Es Salaam nenda Hospitali ya REGENCY, kuna profrssor wa maswala ya ngozi mzuri sana. kwa bahati mmbaya sikumbuki jina lake wala siku anazo patikana kwani imekuwa siku nyinghi sana toka nilipo mpeleka mwanagu baada ya kuhangaika kwa muda mrefu sana na kupona ndani ya wiki moja tu.
 
Jamani natafuta doctor mzuri wa ngozi kwaajili ya kuondoa madoa meusi usoni au kama kuna mtu anajua dawa yake tafadhari msaada

hata mimi naweza kuondoa madoa yako ila inategemea na nature ya tatizo lako,ni vizuri ukafika unione nichukue history ya ugonjwa wako
 
nakumbuka profesa wangu mjerumani aliwahi kusema dermatitis not cured but never die
 
Kuna hospitali inaitwa canosa(Sina hakuna na spelling). Ni ya Masister ipo Maeneo ya Yangu bovu. Nilipata ushuhuda kutoka kwa wafanyakazi wenzangu kuwa ni nzuri sana kwa magonjwa ya ngozi. Nikampeleka mwanangu ni kweli alipona. Na hana Hata madoa
 
Back
Top Bottom