Nipo salama vipi kaka hali nimeshika damu ya mtu nisiyemjua?japo sina uhakika sana kama damu ilifika live kwenye michubuko wasiwasi wangu ni je niliponawa maji haiwezi kuingia kupitia kwenye maji.ha hahah ha,acha uwoga jamaa..upo salama,pia hongera kwa kuokoa maisha ya huyo kijana!
huhuh awahi tu hospital akamueleze doctor tukio zima pamoja na wasiwasi wake atasaidiwa, baada miezi 3 atarudi tena kucheki damuHAPO TAYARI
Asante chief,sina sababu ya kuelezea tofauti ili kupata faraja kutoka kwenu.kweli ni mwizi na sikumuokoa peke yangu japo mimi ndiye nilienza ndo nikapata kampan kutoka kwa jamaa wengine watatu tukamuokoa.mwizi anapigwa nawatu wengi ???? Weee mmoja ndo ukaingia kumsaidia ???? Akati huna uhakika kama kaiba ?? Wat if km kweli nimwizi kaiba ??? .
Sitaki kuamin kama ujasiri mkubwa ulonao wakumuokoa jamaa mikonon mwa makumi yawatu ,huo ujasiri umekupotea.
Dahhhhhh hapo bado sijaielewa vizuri.
Anyway ....Kama nikweli wasiwasi wako nisababu ya kumuokoa jamaaa Basi Umzm Wa afya .
Ila km umetumia maelezo mengine kuelezea wasiwasi mwingine ,,Basi nivema kutuliaa kisha baadae ukachukie vipimo... Kugasana nadamu yamtu nihatar sana.
Sawa ilA kuwa makini mkuuNi sehemu ninayojulikana siwezi kufanya hivyo nje ya hapo.
[emoji122][emoji122]nenda hospital waeleze hilo tukio kuna dawa watakupa ila jitahdi iwe ndani ya masaa 24 maana uwezekano wakupata maambukizi ni mkubwa
Lisaa limoja lililopita hapa karibu na ofisi yangu kuna kijana alikuwa anakimbizwa akituhumiwa kwamba ni mwizi na raia wakaanza kumshambulia sasa akiwa amezungukwa na raia mimi nikaingia katikati yao kumuokoa,ktk kusukumizana sukumizana nikaangushwa chini kwenye lami kisha nikamdhibiti kijana asiendelee kupigwa,baada ya kuwa watu wameshapoa kwa hasira nikamuacha kwenye mikono salama ila nikajikuta nimebaki na damu kwenye kiganja cha mkono wangu ambao nao umepata michubuko kwenye vidole viwili kwa juu,nimenawa maji na sabuni ila naomba ushauri wenu siwezi kupata madhara yoyote in case jamaa akawa ana tatizo?nawasilisha
Sawa mkuu sasa unanishaurije?