Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,760
Lisaa limoja lililopita hapa karibu na ofisi yangu kuna kijana alikuwa anakimbizwa akituhumiwa kwamba ni mwizi na raia wakaanza kumshambulia sasa akiwa amezungukwa na raia mimi nikaingia katikati yao kumuokoa.
Katika kusukumizana sukumizana nikaangushwa chini kwenye lami kisha nikamdhibiti kijana asiendelee kupigwa,baada ya kuwa watu wameshapoa kwa hasira nikamuacha kwenye mikono salama ila nikajikuta nimebaki na damu kwenye kiganja cha mkono wangu ambao nao umepata michubuko kwenye vidole viwili kwa juu,nimenawa maji na sabuni ila naomba ushauri wenu siwezi kupata madhara yoyote in case jamaa akawa ana tatizo?nawasilisha