Doctors naombeni msaada

Doctors naombeni msaada

super cup

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
212
Reaction score
91
Nimepatwa na mafua nina week mbili sasa haya poni,nimetumia dawa aina ya colder,na priton,lakini wapi,nitumie dawa gani ndugu zangu
 
Cold caps jaribu au ephedrine nasal drops hapana shaka yataisha hakikisha usafi wa nguo mazingira unapoishi ni muhimu.
 
Usikae kwenyeAC wala feni coz upepo wake si mzuri,then ucpenge kamas na kitambaa chenye unyevu
 
Mbona dawa zote ulizotumia ni decongestant tu hizi zinafaa sana kama ni viral infection lakini kama ni bacterial yanahitaji antibiotics. Sasa viral infections mara nyingi ni self limiting sasa kama yamechukua 2wks now this may be bacterial infection. Sasa tumia amoxycillin zitamaliza kabisa. Tatizo wabongo bwana mnapenda sana njia za mkato. Kama huna idea ya medical uwe unakwenda hospital ili upate matibabu na ushauri pia, coz remember all unnecessary medications your using are poison you will die. Take care
 
Kwa kuongezea:
Inaweza kuwa allergic rhinitis kwa hiyo kwa kadiri anapokuwa exposed kwenye allergen ndivyo atazidi kutumia sana dawa.Cha msingi akamwone daktari tu.Vinginevyo anaweza kubadili dawa mpaka zitakwisha madukani!
 
>Nunua ASALI.
>Changanya na MAGADI au MAJIVU.
>Lamba ya kutosha mara 3 kwa siku.
>Baada ya siku 2 au 3 njoo uthibitishe kwamba umekwisha kupona.
>JAPO KUWA HII NI DAWA YA KIFUA, UTIBU NA MAFUA PIA.
 
Back
Top Bottom