Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona dawa zote ulizotumia ni decongestant tu hizi zinafaa sana kama ni viral infection lakini kama ni bacterial yanahitaji antibiotics. Sasa viral infections mara nyingi ni self limiting sasa kama yamechukua 2wks now this may be bacterial infection. Sasa tumia amoxycillin zitamaliza kabisa. Tatizo wabongo bwana mnapenda sana njia za mkato. Kama huna idea ya medical uwe unakwenda hospital ili upate matibabu na ushauri pia, coz remember all unnecessary medications your using are poison you will die. Take care