Doctors obtain orders stopping state from hiring Tanzanians

Doctors obtain orders stopping state from hiring Tanzanians

Mimi ni mkenya tunajielewa sana sisi. Watanzania nyinyi maiti.
 
Safi Sanaa
sisi wenyewe huku mahitaji ya madactari ni makubwa
 
Baada ya madaktari wa Kenya kufanya mgomo kuanzia December 2016 kwa madai ya kutaka nyongeza ya mshahara, March 18 2017 serikali ya Tanzania ilikubali kuwapeleka madaktari 500 kukabiliana na uhaba wa madaktari nchini humo, uamuzi ambao ulipingwa na watu mbalimbali hasa wananchi wa Kenya.

Leo March 31 Mahakama nchini Kenyaimekubaliana na pingamizi la Chama cha Madaktari nchini humo juu ya kuajiri madaktari 400 kutoka Tanzania kwani ndani ya nchi yao kuna zaidi ya madaktari 1,400 ambao hawajaajiriwa.

Mahakama imechukulia suala hili kama jambo la haraka na kuipa Serikali muda wa siku 21 kufanya maamuzi. Mpaka sasa madaktari zaidi ya 400 kutoka Tanzania waliomba nafasiKenya.
 
Mahakama imeizuia Serikali kuajiri Madaktari kutoka Tanzania kwa sababu ndani ya nchi hiyo kuna Madaktari 1,400 wasioajiriwa.

Mpaka sasa takribani watanzania 400 wenye taaluma ya Utabibu wameomba kazi hiyo.
Mahakama kuu nchini Kenya yasitisha zoezi la kuajiriwa kwa madaktari kutoka Tanzania.


Wizara ya afya ya Kenya ilikua imeratibu kuanza kwa zoezi hilo tarehe moja mwezi April baada ya Waziri wa afya Cleopa Mailu kufanya mkutano na Raia John Pombe Magufuli jijini Dar es Saalam Mwezi huu wa March na kukubaliana haja ya ushirikiano huo.

Wakenya watano waliwasilisha kesi mahakamani wakipango huo kwa misingi kuwa kenya ina zaidi ya madaktari 1400 ambao hawajaajiriwa.

Jaji Nelson Abuodha amesema kesi hiyo itatajwa April 19.

Serikali ya Kenya ilianza kutafakari haja ya kuajiriwa kwa madaktari kutoka Tanzania na Cuba baada ya sekta ya afya ya umma kulemaa kwa siku 100 kutokana na mgomo wa madaktari nchini humo
Doctors have obtained orders restraining the government from hiring 500 Tanzanian medics amid a shortage.

The medics went to court to stop the government from hiring the practitioners saying there are 1,400 unemployed Kenyans.

KMPDU secretary general Ouma Oluga said: "It would be very costly and therefore a show of imprudent public finance management to have 500 Tanzania doctors at Sh20,000 per day."

More on this: Hire 1,400 jobless Kenyans instead of bringing Tanzania doctors - Oluga

The Labour court made the ruling on Friday saying it will be in effect until the doctors' application is heard and determined

"That leave is hereby granted...to quash the decision of the government...to hire foreign doctors to be deployed to Kenya," read court papers dated March 31.

The court certified the matter as urgent and gave the government 21 days to respond to the application by the health workers.

The matter will be mentioned on April 19.

On March 18, Tanzanian President John Magufuli said they will send 500 doctors to Kenya to help address the shortage.

But the move has been opposed by several leaders. On Thursday, National Super Alliance co-principal Raila Odinga dismissed the plan saying it was misinformed, considering the high number of young qualified Kenyan doctors who lack jobs.

"It is disappointing that the government is seeking to recruit 500 foreign doctors yet there are hundreds of doctors looking for work," Raila said.

"We need to invest in resolving our policy problems in a way that leaves our citizens motivated and willing to serve our country."

He said the recent doctors strike was brought about by the many hiccups in the management of the health sector.

More on this: Shelve plan to hire 500 Tanzanian doctors, employ jobless graduates - Raila

Source: The Star
 
Safi sana Mahakama ya Kenya..

Ninge support Tz kupeleka madaktari Kenya kama Kenya ingekuwa na upungufu wa Madaktari..

Lakini Madaktari wa Kenya wapo kwenye mgogoro mkubwa wa kimaslahi na serikali yao halafu Nchi Jirani tunapeleka madaktari kwenye Nchi hiyo.. NO.

Hata wewe uliyetoa kibali cha hao madaktari kwenda Kenya utakuwa hamnazo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
ndo uzur wa kuwa mahakama huru, ingekuwa huku kwe2 mahakama ingeunga mkonyo hoja 4000000000%
 
Safi sana Mahakama ya Kenya..

Ninge support Tz kupeleka madaktari Kenya kama Kenya ingekuwa na upungufu wa Madaktari..

Lakini Madaktari wapo kwenye mgogoro mkubwa wa kimaslahi na serikali yao halafu Nchi Jirani tunapeleka madaktari kwenye Nchi hiyo.. NO.

Hata wewe uliyetoa kibali cha hao madaktari kwenda Kenya utakuwa hamnazo.
Hamnazo = Bashite. Over
 
This is the problem with our neighbors to the north. They are always saying one thing and do exactly the opposite. For so long, they have been preaching to Tanzanians about the importance of free movement of labor and so forth. Now, they are scared to hire Tanzanians doctors because some Kenyans need those jobs. This is totally preposterous! And one has to be a fool to believe that there are more than 1400 medical doctors who are unemployed in Kenya. The question that ought to be asked is: if these unemployed doctors were there, why then their government opted to acquire medical doctor from Tanzania? This move clearly showcases that these people are simply protectionist. To make a long story short, they have lost the moral ground to criticize us on protectionism.
 
Mtulie watanzania....mahakama imesema serikali isitishe kuwaajiri madaktari hao hadi pale kesi itakaposikilizwa...it's an open case
 
Mtulie watanzania....mahakama imesema serikali isitishe kuwaajiri madaktari hao hadi pale kesi itakaposikilizwa...it's an open case

My problem is not with the court's decision but rather Kenyans' hypocrisy. Frankly speaking, you guys never cease to amaze me with your blatant lies about Tanzanians and worse of all your tendencies of speaking out of both sides of your mouth.
 
uzalendo umekwisha kabisa miongoni mwa watanzania. wakawa wanafurahia watanzania wenzao waendelee kukosa ajira.
Asiye mzalendo ni yupi hasa? Anayefurahia Watanzania wakose ajira au yule aliyefungia ajira?
 
Kuna "nchi" na "vinchi" napata taabu kuamini kama Tanzania nalo ni taifa.
 
Ni uhuni kuajiri watu kutoka Tanzania wakati wakenya hawana ajira.niko pamoja na mahakama ya Kenya inayojali maslahi ya watu wake
Wakenya nao wajiandae kutimuliwa Tanzania kwani ni uhuni kuajiri wakenya wakati watanzania hawana ajira
 
Uamuzi mushabara
Haukuwa sahihi kwenye mahusiano ya kimataifa ukinifanyizia nakufanyizia wakenya wamezuia madaktari wetu kwenda wamefanya kinyume na makubaliano ya jumuiya ya Afrika mashariki kuhusiana na ajira za madaktari ambamo wanaruhusiwa kwenda kufanya kazi popote ndani ya jumuiya bila vipingamizi. Mahakama ilichofanya italeta vilio vingi kwa wakenya wengi walioajiriwa Tanzania na watakaotaka kuajiriwa Tanzania. Kuwa mkenya akiomba kazi Tanzania lazima Kwanzaa ihakikiwe kama Hakuna mtanzania hata mmoja asiye na ajira kwenye hicho huyo mkenya kaomba
 
Ningewashangaa hao madaktari kwenda Kenya ilihali wakijua kabisa wakenya wenyewe wana mgogoro wa kimaslahi na serikali yao
 
Back
Top Bottom