Doctors per 10,000 people in East Africa.

Too bad we can't hire more ASAP and we can't pay them enough to stop the poaching
 
Nilipopost uzi wa GDP humu, wabongo wengi walilalamika kuwa GDP sio njia mwafaka ya kupima uchumu wa nchi na kwamba kuna uwezekano kua Tanzania inazalisha mali kuliko Kenya ila mali hiyo haijanukuliwa kwenye GDP. Wenzangu Wakenya walijaribu kuwaelezea kuwa mali isiyonukuliwa kwenye uchumi wa Kenya na Tanzania haiwezi leta tofauti kubwa kwa final figures za GDP lakini wapi. Basi nimeona ni vyema nipost indices zingine zinazoguzia vyema ubora wa maisha kati ya nchi za Afrika mashariki ili tupate picha mwafaka. Leo naanza na afya na hii hapa ni orodha ya nchi za Afrika Mashariki na namba ya madaktari kwa watu elfu kumi.

Kulingana na world bank, mambo ndio haya:-
1. Kenya - 2 Physicians per 10,000 people - Physicians (per 1,000 people) | Data
2. Uganda - 0.9 Physicians per 10,000 people - Physicians (per 1,000 people) | Data
3. Rwanda - 0.6 Physicians per 10,000 people - Physicians (per 1,000 people) | Data
4. Burundi - 0.3 Physicians per 10,000 people - Physicians (per 1,000 people) | Data
5. Tanzania - 0.2 Physicians per 10,000 people - Physicians (per 1,000 people) | Data

The best country has 10 times as many Physicians as the worst country.
Hizo data kwa Tanzania sio halisia kwa hali ya sasa kwasababu kwa wakati huu general physicians wamemwaga wengi sana kwenye level ya vituo vya afya na baadhi ya zahanati za serikali

Tatizo LA tz n kuto update taarifa kama hizo kwa jinsi us mabadiliko yanavyotokea.Just check source of your information utaona n taarifa ya muda mrefu.

So far Magufuli anafanya makubwa sana kwenye sector ya afya .Anajenga Hospital zaidi ya 70 za Wilaya kwa mwaka huu wa fedha 2018/2019 na huku vituo by afya zaidi ya 300 kwa mwaka wa fedha 2017/2018 bado regional hospitals kadhaa ujenzi wake unaendelea

Pia we have the best logistic and supply ya mfano ya madawa na vifaa Tina MSD kwa ukanda huu

Mpaka kufikia 2020 huduma za afya zitakuwa n bora kabisa kwa ukanda huu wa East Africa
 
Life expectancy (The main reason you want doctors )

1548645765109.png
 
Wewe mwehu nini? Hapa tunaongelea Physicians wewe unatuletea ujenzi wa hospitali kambe ni bongo pekee kunakojengwa hospitali. Haya tuletee hizo data zako za ukweli basi.
 
Tanzanian tu stop breeding hata waziri wa fedha alisema uchumi wetu unakuwa kwa kasi lakin tunazaliana sana mbaka ile kasi ya uchumi haionekani

Mnafurahisha sana ati wakati mwingine.

Pigeni kimya tu maana chema chajiuza na kibaya chajitembeza.

Chinese unafikiri wanapiga makelele kwa media wakisema we are coming as the best ever...not all wako busy laboratories, market and industries to make it happens kwa vitendo.

Sasa sisi waafrica tena ndugu kabisa wa damu we are busy bragging kwa media. Wazungu walituwekea mipaka and they did not care about tribes affiliation and their setting...leo hii ati Mmasai ama Mjaluo wa Kenya anamcheka mjaluo an mmasai mwenzake wa Tanzania. Ati hii ni kweli? Noo, nafikiri kuna kundi la watu wachache wanajiona wao ni bora zaidi ya wengine...ukiona anaona mbongo au mganda ni hovyo, basi ujue ndani ya nchi yake kuna mtu anamuona hivyo pia.
 
Nimeeleza hapo juu tutaangalia hivi viashiria vya ubora wa maisha kimoja baada ya kingine. Hicho cha urefu wa maisha tutakiangalia tu ila kama unavyoona bado Kenya inaongoza pamoja na Rwanda.
Physicians/1000 people na vipimo vingine vya huduma za afya, lengo lake ni moja nalo ni kurefusha maisha. So, the outcome is very significant.
You have more Physicians because you need more Physicians to attain the same longevity as Tanzanians. If Tanzania had 10 time more Physicians, our life expectancy would've been at least 85 years.
By the way, Tanzania focused on medical assistants, nurses and public health professionals that were meant to focus more on prevention and controlling endemic/pandemic situations.
It's just a difference in Public Policy which yielded the same results.

NB: We have a higher life expectancy than Rwanda.
 
Hizo data kwa Tanzania sio halisia kwa hali ya sasa kwasababu kwa wakati huu general physicians wamemwaga wengi sana kwenye level ya vituo vya afya na baadhi ya zahanati za serikali

Tatizo LA tz n kuto update taarifa kama hizo kwa jinsi us mabadiliko yanavyotokea.Just check source of your information utaona n taarifa ya muda mrefu.

So far Magufuli anafanya makubwa sana kwenye sector ya afya .Anajenga Hospital zaidi ya 70 za Wilaya kwa mwaka huu wa fedha 2018/2019 na huku vituo by afya zaidi ya 300 kwa mwaka wa fedha 2017/2018 bado regional hospitals kadhaa ujenzi wake unaendelea

Pia we have the best logistic and supply ya mfano ya madawa na vifaa Tina MSD kwa ukanda huu

Mpaka kufikia 2020 huduma za afya zitakuwa n bora kabisa kwa ukanda huu wa East Africa

Lol. The best logistic and drug supply. Lol. Dawa zote za Dangayika zatoka Kenya.
Lol even all large multinationals in this space know that ndio maana wale wote wako in the healthcare business wako headquartered in Kenya. For example, GSK, Reckitt Benckinser, Pfizer, Roche, Phillips, GE Healthcare etc
 
Physicians/1000 people na vipimo vingine vya huduma za afya, lengo lake ni moja nalo ni kurefusha maisha. So, the outcome is very significant.
You have more Physicians because you need more Physicians to attain the same longevity as Tanzanians. If Tanzania had 10 time more Physicians, our life expectancy would've been at least 85 years.
By the way, Tanzania focused on medical assistants, nurses and public health professionals that were meant to focus more on prevention and controlling endemic/pandemic situations.
It's just a difference in Public Policy which yielded the same results.

NB: We have a higher life expectancy than Rwanda.
Stop being stupid...............Kenya does not have the same longetivity as Tanzania, Kenya has more. Wacha kufananisha Kenya na vitu vya kijinga.

NB, Rwanda has the highest life expectancy in East Africa, slightly higher than Kenya. Go to school before trying to contribute.
 
You are the one who's supposed to go to school.
Standard margin of error for regular statistics is 5%. So when someone (educated) says Kenya and Tanzania have the same longevity, he/she means that they are within the margin of error (+/-.05).
So, there's a possibility that life expectancy at birth for Tanzania to be 68.5 years and that of Kenya to be 64.2 years using the same data. The difference is not that significant.
 
I guess your brain was sleeping when you said Tanzania has a higher life expectancy than Kenya then.

Please, sit down. I hate arguing with stupid people.
 
Show me where I said that.
Stop being stupid and go to sleep. People with your IQ are in lower Primary School. No wonder you havethe memory of a chicken.

Physicians/1000 people na vipimo vingine vya huduma za afya, lengo lake ni moja nalo ni kurefusha maisha. So, the outcome is very significant.
You have more Physicians because you need more Physicians to attain the same longevity as Tanzanians. If Tanzania had 10 time more Physicians, our life expectancy would've been at least 85 years.
By the way, Tanzania focused on medical assistants, nurses and public health professionals that were meant to focus more on prevention and controlling endemic/pandemic situations.
It's just a difference in Public Policy which yielded the same results.

NB: We have a higher life expectancy than Rwanda.
 
Not the same.
Kichwa kimejaa uharo?
Rwanda has a higher life expectancy than Kenya.................so when you say your life expectancy is higher than Rwanda's?????

Anyway, you're too thick for this.
 
Duh! Kwahiyo sisi ni wajinga, kwa uwiano huo tulianzaje kutoa madaktari 500 waende Kenya?. Hata sasa kuna madaktari wengi wanaganga njaa kitaa kwa sababu ajira hamna. Kwa mwaka madaktari 1000+ wanahitimu Tanzania, nilijua labda tumefikia lengo ndio maana hatuajiri kumbe hata nusu lengo bado. Tumewaacha tu mtaani wakati bado tuna uwiano mdogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You are the one who's supposed to go to school.
Standard margin of error for regular statistics is 5%. So when someone (educated) says Kenya and Tanzania have the same longevity, he/she means that they are within the margin of error (+/-.05).
So, there's a possibility that life expectancy at birth for Tanzania to be 68.5 years and that of Kenya to be 64.2 years using the same data. The difference is not that significant.

Ahaaa haaa haaa
NairobiWalker can't decipher the meaning of the level of significance. it's quite an advanced econometrics to him.
 
Back
Top Bottom