Doctors per 10,000 people in East Africa.

Doctors per 10,000 people in East Africa.

Lol. The best logistic and drug supply. Lol. Dawa zote za Dangayika zatoka Kenya.
Lol even all large multinationals in this space know that ndio maana wale wote wako in the healthcare business wako headquartered in Kenya. For example, GSK, Reckitt Benckinser, Pfizer, Roche, Phillips, GE Healthcare etc

Kweli mataahira mnaongezeka, ni dawa gani inatoka kenya?
Au unafikiri pharma industry ni kama kiwanda cha Maziwa cha brookside?
Punguza miraa unatia aibu hapa
 
I guess your brain was sleeping when you said Tanzania has a higher life expectancy than Kenya then.

Please, sit down. I hate arguing with stupid people.

I don’t think you understand this ‘statistical significance ‘ hizo shule mnabonga kingereza tu Vichwani weupe,
 
Hahahah msomimsomi anayependa kuongea na watu wamesoma na wenye uelewa wa juu. Nifundishe mimi mwenye uelewa finyu kuhusu statistics.
Statiscalll hypithesus null hypothesis testing statisscal insignicance.statiscal hypothesis testing
p,a whatever the hell they are called

Kha, hivi nyie wenzetu huwa mnafanya studies?? Mbona mnanitisha. ??
 
Ahaaa haaa haaa
he can't decipher the meaning of the level of significance. it's quite an advanced econometrics to him.
Ni kajitu kamoja hovyo, hakajui kanaongea nini. Delusional af.
 
Nadhani huu mgogoro wote tutaumaliza tukikubali wote kwa pamoja kwamba wanao ongoza kutoka mwisho ndio bora zaidi ya wengine wote. Jf buana!
 
Back
Top Bottom