FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Mnaoona sawa madaktari kugoma, hamjaumwa mkalazwa wala hamna wagonjwa mahospitalini. Madaktari waliogoma wote wafungulie mashtaka ya jina kwa kila kifo watachokisababisha na mashtaka ya madai kwa kila usumbufu unaotokea, hapo ndio watashika adabu zao, maana hata wanapowapasua wagonjwa wa miguu vichwa huwa hawafanywi lolote basi wamezoea.