Doctors tukutana hapa JF kama DonBosco, Starlight haiwezekani

Doctors tukutana hapa JF kama DonBosco, Starlight haiwezekani

Mnaoona sawa madaktari kugoma, hamjaumwa mkalazwa wala hamna wagonjwa mahospitalini. Madaktari waliogoma wote wafungulie mashtaka ya jina kwa kila kifo watachokisababisha na mashtaka ya madai kwa kila usumbufu unaotokea, hapo ndio watashika adabu zao, maana hata wanapowapasua wagonjwa wa miguu vichwa huwa hawafanywi lolote basi wamezoea.
 
At least masaburi yanakuwezesha kukaa vyema kuliko madaktari uchwara waso utu..na bahati mbaya sana uoni wako ni finyu na kudhani aliye kinyume na mgomo wa madaktari anasapoti serikali..akili matope kabisa hizi.

hao madaktari wangekuwa uchwara msingekuwa mnawalilia warudi.halafu hao uchwara ukienda unahara hovyo wana kuserve
 
Back
Top Bottom