Document conversion center:ushauri wa soko lake hapa Tanzania

Document conversion center:ushauri wa soko lake hapa Tanzania

kulwa12

Senior Member
Joined
Jun 30, 2009
Posts
103
Reaction score
28
Wadau kutokana na maendeleo ya technologia nchi nyingi za sasa wanaanchana utunzaji wa kumbukumbu (documents) /nyaraka za kiofisi kwenye makaratasi pekee ,sasa wanatumia paperless yani wanahifazi kumbukumbu kwa digitaly.

Sasa wadau nataka nifungue kituo cha kubadilisha nyaraka/kumbukumbu kua katika mfumo wa kidigitaly kwa scanning,data capture,indexing.

Baada ya hapo kuziandaa kitaalamu ziwe katika mfumo wa kuifadhia wa kielektronia (digitaly) na pia kutoa huduma ya kuzihifadhi mtandaoni(cloud computing).wadau naomba mawazo yenu juu ya uhitaji wa huduma hii kwenye maofisi na taasisi mbalimbali hapa nchini kwetu.

Na pia uhitaji wa huduma za kitaalamu za kutunza kumbukumbu (nyaraka), kama vile
records management systems,
automated work flows,
enterprise content management (ecm).
Kuharibu kitaalamu kumbukumbu zisizo hitajika kwa niaba ya mteja.
Sehemu ya kuhifadhia kumbukumbu ngumu kwa niaamba ya mteja.

Kituo hiki kitakua na vifaa vya kutoa huduma hizi eneo la ofisini kwa mteja au kwenye kituo kadiri ya maitaji ya mteja mweneyewe.

Nitanzia kutoa huduma hii dar-es-salaamu na kufungua vituo vingine mikoani baadaye.

Wadau naomba ushauri wenu wa dhati kwani biashara hii itaitaji uwekezaji wa mamilioni ya pesa ni ni vizuri kupata ushauri wa greater thinkers hapa kwani ni wa kweli na wa wazi bila kuficha.
Ahsanteni.
 
Kuenea kwa Cloud Computing technology kutasababisha soko la IT kufa na kuwaacha baadhi ya wanafunzi na wafanyakazi wa kitengo hicho kubaki njia panda bila ya kujua nini cha kufanya!

Ni bora uangalie ni nani atakaye athirika zaidi kati ya Mwajiri na mwajiriwa.
 
Kaka kwa ufaham wangu mimi hzo ishu znalipa sana kwa kuwa maofis meng yana2mia mfumo wa hard copy so kuwapa mfumo mpya wa data treatment nafkiri ni idea nzur.Kampuni nayojua mie ni DATAVISION inafanya kaz kama ulichoandika juu hapo au wewe upo juu zaidi.Kaka nakushauri "muibe" mfanyakaz m1 wa hapo data vision akupe kila detail kuhusu mchakato huo then utapata kujua unayotaka kujua. Umenielewa mkuu?
 
kaka kwa ufaham wangu mimi hzo ishu znalipa sana kwa kuwa maofis meng yana2mia mfumo wa hard copy so kuwapa mfumo mpya wa data treatment nafkiri ni idea nzur.kampuni nayojua mie ni datavision inafanya kaz kama ulichoandika juu hapo au wewe upo juu zaidi.kaka nakushauri "muibe" mfanyakaz m1 wa hapo data vision akupe kila detail kuhusu mchakato huo then utapata kujua unayotaka kujua. Umenielewa mkuu?
mdau nashukuru sana sana na hilo ni wazo zuri sana sana!je kuna mtu unaemjua hapo mkubwa unaeweza kuniunganisha nae kaka?? Nitashukuru sana sana!!
 
Kulwa,
Unaweza pia kuangalia market ya individual users kwani hao pia wanahitaji hii service, especially ya kuhifadhi nyaraka muhimu nf. Title deeds, birth certificates nk. Kama unavyofahamu, karatasi baada ya muda fulani na environment condition huanza kuharibika. Hapo ndipo service kama hii ya ku'digitize hizo documents inaweza kuwa ya msaada kuhidafhi "picha" ya hizi nyaraka. Pengine unaweza kuongeza service ya "climate controlled" storage ya hard-copies for the customer.

Angalia hizi softwares
Documentum
Captiva

All the best...
 
Mkuu nashukuru sana kwa kunipa wazo hili nalo ni mmoja ya huduma nazolenga mkuu,nashukuru sana pia kwa softwares hizo,je unawataalamu wowote unaowajua wako vizuri katika mambo ya records management systems softwares(dms)?au pia mambo ya enterprise content management?
kulwa,
unaweza pia kuangalia market ya individual users kwani hao pia wanahitaji hii service, especially ya kuhifadhi nyaraka muhimu nf. Title deeds, birth certificates nk. Kama unavyofahamu, karatasi baada ya muda fulani na environment condition huanza kuharibika. Hapo ndipo service kama hii ya ku'digitize hizo documents inaweza kuwa ya msaada kuhidafhi "picha" ya hizi nyaraka. Pengine unaweza kuongeza service ya "climate controlled" storage ya hard-copies for the customer.

Angalia hizi softwares
documentum
captiva

all the best...
 
Content Management Systems, unaweza kuangalia open-source (Joomla inayo hii kitu I think) offerings zilizopo kama zinaweza kutumika. Pia hizo hardwares (scanners) na software (OCR software) utakazohitaji na functionality zinazokuwa nazo, Hapo pia utahitaji jinsi ya ku'link hizo systems zako seamlessly kuwa, unapo'scan document, kuna operation itakayoiweka kwenye CMS.

Wataalamu, jitokezeni....
 
ahsante mdau kwa msaada!

COSEKE have been doing this for more than 10 years now. Ingawa wao hawana cloud based storage. Kwa sasa kidogo watu wanaanza kuelewa haya mambo na workflows. i predict the industry to grow very rapidly. Coseke ni partner wa na wanauza products za kampuni ya marekani inaitwa Global360. Ni expensive. Ukija na solution hii hakika utafanya biashara. ni pm for more details.
 
Mkuu ahsante sana nime ku pm mkuu check it!
coseke have been doing this for more than 10 years now. Ingawa wao hawana cloud based storage. Kwa sasa kidogo watu wanaanza kuelewa haya mambo na workflows. I predict the industry to grow very rapidly. Coseke ni partner wa na wanauza products za kampuni ya marekani inaitwa global360. Ni expensive. Ukija na solution hii hakika utafanya biashara. Ni pm for more details.
 
Kuenea kwa Cloud Computing technology kutasababisha soko la IT kufa na kuwaacha baadhi ya wanafunzi na wafanyakazi wa kitengo hicho kubaki njia panda bila ya kujua nini cha kufanya!

Ni bora uangalie ni nani atakaye athirika zaidi kati ya Mwajiri na mwajiriwa.
Hiyo ni kweli lakini itachukua muda kdogo kwa hilo kutokea kwa nchi kama zetu hizi.
 
COSEKE have been doing this for more than 10 years now. Ingawa wao hawana cloud based storage. Kwa sasa kidogo watu wanaanza kuelewa haya mambo na workflows. i predict the industry to grow very rapidly. Coseke ni partner wa na wanauza products za kampuni ya marekani inaitwa Global360. Ni expensive. Ukija na solution hii hakika utafanya biashara. ni pm for more details.
Mkuu achana na mambo ya pm bwana, weka hapa hadharani, hata mimi nimevutiwa na hii teknolojia aisee!
 
Kaka kwa ufaham wangu mimi hzo ishu znalipa sana kwa kuwa maofis meng yana2mia mfumo wa hard copy so kuwapa mfumo mpya wa data treatment nafkiri ni idea nzur.Kampuni nayojua mie ni DATAVISION inafanya kaz kama ulichoandika juu hapo au wewe upo juu zaidi.Kaka nakushauri "muibe" mfanyakaz m1 wa hapo data vision akupe kila detail kuhusu mchakato huo then utapata kujua unayotaka kujua. Umenielewa mkuu?
nahitaji sana kufanya hii biashara huko tz
 
Kuenea kwa Cloud Computing technology kutasababisha soko la IT kufa na kuwaacha baadhi ya wanafunzi na wafanyakazi wa kitengo hicho kubaki njia panda bila ya kujua nini cha kufanya!

Ni bora uangalie ni nani atakaye athirika zaidi kati ya Mwajiri na mwajiriwa.
sijakuelewa hapa, hebu fafanua mkuu
 
jamani mimi sio mtaalam wa mambo ya teknolojia. hebu naombeni kujua tofauti ya hizo devices; scanner, data capture, indexin
 
Back
Top Bottom