Wadau kutokana na maendeleo ya technologia nchi nyingi za sasa wanaanchana utunzaji wa kumbukumbu (documents) /nyaraka za kiofisi kwenye makaratasi pekee ,sasa wanatumia paperless yani wanahifazi kumbukumbu kwa digitaly.
Sasa wadau nataka nifungue kituo cha kubadilisha nyaraka/kumbukumbu kua katika mfumo wa kidigitaly kwa scanning,data capture,indexing.
Baada ya hapo kuziandaa kitaalamu ziwe katika mfumo wa kuifadhia wa kielektronia (digitaly) na pia kutoa huduma ya kuzihifadhi mtandaoni(cloud computing).wadau naomba mawazo yenu juu ya uhitaji wa huduma hii kwenye maofisi na taasisi mbalimbali hapa nchini kwetu.
Na pia uhitaji wa huduma za kitaalamu za kutunza kumbukumbu (nyaraka), kama vile
records management systems,
automated work flows,
enterprise content management (ecm).
Kuharibu kitaalamu kumbukumbu zisizo hitajika kwa niaba ya mteja.
Sehemu ya kuhifadhia kumbukumbu ngumu kwa niaamba ya mteja.
Kituo hiki kitakua na vifaa vya kutoa huduma hizi eneo la ofisini kwa mteja au kwenye kituo kadiri ya maitaji ya mteja mweneyewe.
Nitanzia kutoa huduma hii dar-es-salaamu na kufungua vituo vingine mikoani baadaye.
Wadau naomba ushauri wenu wa dhati kwani biashara hii itaitaji uwekezaji wa mamilioni ya pesa ni ni vizuri kupata ushauri wa greater thinkers hapa kwani ni wa kweli na wa wazi bila kuficha.
Ahsanteni.