Documentary ya KDF

nasema ukweli toka moyoni, wakenya ni viumbe washamba sana na wanaostahili kuonewa huruma. nikiwaangalia wanavyohangaika ili at least watu wawaone kuwa wana uwezo, ni vichekesho. hata hivyo, nahisi mataifa yenye nguvu yakiangalia vinchi vidogo kama hivi vya africa vikijifanya na vyenyewe ni vidudu mtu, wanacheka sana. ndege moja tu hapo ikidondoshwa vitani, ni msiba kwasababu imegarimia hela za bajeti ya wizara mbili. uwezo wa wakenya kijeshi ni mdogo mno, na hata kama wanavyo vifaa, moyoni mwangu huwa sioni shaka, kama wangekuwa ni maadui wetu, hao ni kuwapelekea tu polisi hawa wa vituoni hamna haja hata kupeleka jeshi, wote hao watachapwa kama watoto tu. ushamba ni mzigo mzito mno aisee.
 
Ujanielewa mm ni mtz nilikuwa namjibu mkenya kuwa China na Russia ni marafiki zetu watatupatia hata bure
 
Umesema ndege moja ikiangushwa vitani ni majonzi makubwa kwa wakenya maana gharama yake ni bajeti ya wizara mbili, hahahaha.
Hakika waafrica tuna safari ndefu.
Kwakweli nimependa bandiko lako, hasa hiyo avatar yako 'hute'
Yaani ni kama nimekumbuka kule kwetu iringa,
Asante nadhani hawa vidudumtu wa kikenya wamekusikia. Waache kujipiga tuvifua twao tudogo mithiri ya madenge.
Huyu muumbaji wetu ana lengo na sisi weusi ndio maana katufanya kama viumbe wakudharauliwa na kuonekana hatuwezi kitu, ihali yeye wakati wote hujidhihirisha kupitia penye udhaifu,
Tutafika tu mkuu, maana aliyetuumba weusi ndiye aliyewaumba weupe.
 
Usafirishaji kwa sasa apo Kenya tofauti na wanavyojidai
 

Attachments

  • 1472816784969.jpg
    34 KB · Views: 40
fala wewe hizo picha zote zimepostiwa hapa za magari hiuujinga ndio umeona upost
Huo ndio usafirishaji wenu sio mnafanya kudownload vitu mnasema vyenu wendawazimu nyinyi
 
Licha ya Saudi Arabia kuwa na silaha za kisasa...silaha hizo zimeonrkana kutokuwasaidia kutokana na kuchakazwa vibaya na wa-Houthi...funzo ni kwamba kuwa na silaha za kisasa ni jambo lingine na kupigana vita ni jambo lingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…