deejo
Member
- Dec 19, 2011
- 29
- 7
Jamani hii documentary ya Mkwawa mnaionaje? Mi ninawaponeza sana waandaji kwa kweli wamejitahidi. Lakini walichonikera ni kwenye mavazi walivyokurupuka bila maandalizi. Hivi askari wa mkwawa na mkwawa walikuwa wanavaa mashuka ya quality vile? yanang'aa kwa weupe sijui ni cotton au tetron,,halafu kibaya zaidi nguo zenyewe safiiiii wakati walikuwa wanashinda msituni kufanya mazoezi ya vita au kulikuwa na sabuni ya omo?