Documentary ya Mkwawa

Documentary ya Mkwawa

deejo

Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
29
Reaction score
7
Jamani hii documentary ya Mkwawa mnaionaje? Mi ninawaponeza sana waandaji kwa kweli wamejitahidi. Lakini walichonikera ni kwenye mavazi walivyokurupuka bila maandalizi. Hivi askari wa mkwawa na mkwawa walikuwa wanavaa mashuka ya quality vile? yanang'aa kwa weupe sijui ni cotton au tetron,,halafu kibaya zaidi nguo zenyewe safiiiii wakati walikuwa wanashinda msituni kufanya mazoezi ya vita au kulikuwa na sabuni ya omo?
 
Subiri Ndg yangu hapo vita bado haijaanza watachafukaje wakati bado vita. Kuwa na subira usiharakishe kila kitu.
 
Back
Top Bottom