Dodi Al Fayed mchumba wa Princess Diana mpaka Kifo!

Dodi Al Fayed mchumba wa Princess Diana mpaka Kifo!

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Dodi (mtoto wa aliyekua Mmiliki wa Fulham FC) ndie alimvalisha Pete ya uchumba princess Diana Ila bahati mbaya hawakufikia ndoa. Laiti Leo hii Princess angekuwa hai basi Mfalme (ajae) wa Uingereza, Prince William angekuwa na ndugu wanaechangia Mama tokea nje ya Uingereza. Hakika dunia ingekuwa mahali salama pa kuishi. No more threats yaani ni full peace.
 
Attachments

  • images (39).jpeg
    images (39).jpeg
    26.4 KB · Views: 38
Nilisoma habari za kifo cha princess D lile tukio lilipangwa na mbaya zaidi hata mwandishi alofatilia ile ajali aliwekwa kizuizini huko Marecan na kitabu chake kilizuiliwa kuuzwa.
Kikubwa nilicho-note mzungu na mwarabu ni paka na panya na hatua walokuwa wamefikia Diana na huyo mchumba wake mwenye asili ya Misri ingekuwa ni aibu kwa familia ya malkia Elizabeth piga ua ingefika kipindi mwanaharam angekuwa ndani ya kasri la malkia
 
Ajali iliuwa wangapi
 
Dakika ishirini(umeipata hiyo? Ambulance inakwenda kabla ya ajali kutokea) kabla ajali haijatokea, ambulance iliondoka kutoka kwenye American Military Hospital in Paris kwenda kumchukua Diana. Akachukuliwa Diana akapelekwa kwenye Ile hospitali ya Wamarekani ingawa hospitali nyingine ilikuwepo karibu.
Lakini mimi napinga watu kuibua hizi scandals wakati huu wa maombolezo. Inaonyesha disrespect for the dead.
Haya mambo yalikuwa yanasemwa siku mbili tu au tatu baada ya ajali kutokea ili kuwasuta wale waliokuwa wanatangaza habari za uongo. In other words,haya mambo yalikuwa yanasemwa in real time, wakati ule ule yalipokuwa yanatokea. Lakini ukiyazungumzia sasa,unafukua makaburi,na hilo ni kosa
 
Ubaguzi ni kitu kibaya sana,lakini mwanae wa marehemu amechukua mtu mwenye asili ya Africa ndiyo maana mama yetu SSH ameenda msibani.
Siyo ubaguzi.Kuna watu hapa duniani huwa hawaeleweki baada ya dakika mbili watafanya kiroja gani!Siyo wa kuwaamini.And,the only good way of keeping your beloved ones safe from the enemies,is to keep the distance!😂😂😂😂
 
Kila kitu kilikuwa kigumu kwa Princess Diana wakati ule.

Mume anachepuka humu humu kwenye kasri.

Huwezi kutoka kwenda kuolewa huko uarabuni.

Ilifikia akawa anakulwa na mwalimu wake wa farasi.

Ila kuna vitu huwezi zuia, especially nyegezi
 
Back
Top Bottom