Dodi Al Fayed mchumba wa Princess Diana mpaka Kifo!

Dodi Al Fayed mchumba wa Princess Diana mpaka Kifo!

Kila kitu kilikuwa kigumu kwa Princess Diana wakati ule.

Mume anachepuka humu humu kwenye kasri.

Huwezi kutoka kwenda kuolewa huko uarabuni.

Ilifikia akawa anakulwa na mwalimu wake wa farasi.

Ila kuna vitu huwezi zuia, especially nyegezi
kujiendekeza tu
 
Dody alikua keshampa mimba mrembo Diana Imagine mtoto angezaliwa alafu akaitwa prince Osama Dody Al-fayed mjukuu kwenye familia ya bi Elizabeth.
Nilishawahi kusikia mahali kwba huyu malikia elizabeti ni uzao katika cha mtume muhamadi.nilishasikia hii habari zaid ya mara moja
 
Back
Top Bottom