Dodi Al Fayed mchumba wa Princess Diana mpaka Kifo!

Dodi Al Fayed mchumba wa Princess Diana mpaka Kifo!

Mjomba wazungu wakiandika kitabu , tafiti ufanyika, sio kama vitabu vya erick shigongo[emoji3][emoji3]
Kweli Mjomba
Na Charles na Camilla walikutana mwaka 1970 na mahusiano yao yalidhirika mwaka 1986 Camilla akiwa na mme wake nafikiri huku Charles akiwa na ndoa pia
Royal Biography imeandika mengi na pia kwenye Crown pia
 
Kwani kuna ambae hatakufa?
MTU Yuko above 80s unashangaa kifo chake?

Ukute wewe hata 50 hutagusa maana unatokea nchi masikini Vigo vya bodaboda na panya Road ni nje nje.
We mndukuu acha kiniquote maana nakuonaga kama kichaa tu[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Nje ya mada,.

Waingereza (watawala) hawashibani na waarabu, vipi waarabu wanalimezea soko la mpira wa miguu England kwa kununua timu hasa za pale EPL, itakuaje huko mbeleni.?!

Au wanawa time wapite na vichwa kama bwana Roman Abramovic?

Wamarekani ndo wanapata nafasi kubwa kuzinunua timu. Kwa epl mpaka sasa zile best 4 za awali zipo chini ya wamerekani.
Liverpool
Manchester utd
Arsenal
Chelsea
Sio kwa Waingereza aisee

England kuna wahindi wengi wanamiliki migahawa na maduka ya nguo lakini KAMWE hawawezi kumiliki Uchumi wa England, vilevile kwa Wamarekani na wengine

Kwenye suala la Sheria (Magna Carta) Mipango, Uhasibu, Fedha, Teknolojia, Education system, Utunzaji pamoja na uhifadhi wa Historia na Civilization Waingereza wako vizuri SANA kuliko nchi zingine.

Mpaka leo hii Wamarekani wanajifunza mengi kwa Muingereza

System na Structure nzima ya Serikali nyingi za dunia ya leo kuanzia China, India, USA na hata Africa zilianzia Britain/England
 
Kauli ya mwisho ya Diana:

''My God, what happened?

Huku Uso wake ukimwangalia Dodi Fayed, ambaye yeye na Dereva walifia palepale kisha Diana akafa baadae akiwahishwa hospitalini bila kuwa na jeraha hata moja....maskini kumbe ndani kwa ndani damu zilivuja.

Sergeant Xavier mfaransa aliyesimamia uzimaji wa moto na Team yake katika ile gari aina ya Marcedes Benz W140 S-CLASS ndiye Mtu wa mwisho kuonana na kuzungumza na late Princess Diana na sasahivi ni Mwanajeshi Mstaafu

Yeye hasa, ndio mwenye kujua siri nzima ya Ajali ile ya August, 1997. Kila alipohojiwa alisema miiko ya kazi yake (Uanajeshi) haimruhusu kuongea kila kitu

Lakini Recently akasema sasa amekuwa Mstaafu anaweza kuzungumza

So Baada ya kifo cha Bibi huenda akasema chochote...ila anasema picha ya mwisho ya sura ya Diana haitamtoka na hataisahau milele.
 
Alianza kitambo.Tusubiri simulizi la kiuchunguzi.
Aliyekuwa na matatizo ni Prince Charles sio Princess Diana . Mkifuatilia kwa undani utaelewa ili suala. Ni kwamba Charles alikuwa anataka kumuoa Camilla toka mwanzo ila wazazi wake walimchagulia Diana ambaye Charles alikubali kumuoa ila alikuwa hana mapenzi nae na alikuwa anaendelea kuchepuka na Camilla. Mwisho wa siku Diana yalimshinda wakaachana na ndipo akaanza kujichanganya na walimwengu
 
Sio kwa Waingereza aisee

England kuna wahindi wengi wanamiliki migahawa na maduka ya nguo lakini KAMWE hawawezi kumiliki Uchumi wa England, vilevile kwa Wamarekani na wengine

Kwenye suala la Sheria (Magna Carta) Mipango, Uhasibu, Fedha, Teknolojia, Education system, Utunzaji pamoja na uhifadhi wa Historia na Civilization Waingereza wako vizuri SANA kuliko nchi zingine.

Mpaka leo hii Wamarekani wanajifunza mengi kwa Muingereza

System na Structure nzima ya Serikali nyingi za dunia ya leo kuanzia China, India, USA na hata Africa zilianzia Britain/England
Nimeelewa sasa. Shukrani mkuu.
 
Kauli yake ya mwisho ya Diana:

''My God, what happened?

Huku Uso wake ukimwangalia Dodi Fayed, ambaye yeye na Dereva walifia palepale kisha Diana akafa baadae akiwahishwa hospitalini bila kuwa na jeraha hata moja....maskini kumbe ndani kwa ndani damu zilivuja.

Sergeant Xavier mfaransa aliyesimamia uzimaji wa moto na Team yake katika ile gari aina ya Marcedes Benz W140 S-CLASS ndiye Mtu wa mwisho kuonana na kuzungumza na late Princess Diana na sasahivi ni Mwanajeshi Mstaafu

Yeye hasa, ndio mwenye kujua siri nzima ya Ajali ile ya August, 1997. Kila alipohojiwa alisema miiko ya kazi yake (Uanajeshi) haimruhusu kuongea kila kitu

Lakini Recently akasema sasa amekuwa Mstaafu anaweza kuzungumza

So Baada ya kifo cha Bibi huenda akasema chochote...ila anasema picha ya mwisho ya sura ya Diana haitamtoka na hataisahau milele.

Doh.! Nini hasa kilikua kwenye uso wa Diana dk za mwisho? Natamani kusikia zaidi kutoka kwa Xavier maneno ya Diana
 
Back
Top Bottom