SMART GHOST
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 2,657
- 10,356
Wewe ni wa kishua!Nmekumbuka school bus yetu ilikua na sticker ya Princess Diana
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni wa kishua!Nmekumbuka school bus yetu ilikua na sticker ya Princess Diana
Inawezekana kwa baadhi maana 1981 ndio aliolewa na 1986 Di akakutana na Hewitt huku Buckingham Palace akifundishwa farasi ndipo jamaa anasema eti aka fall in love huku akijua Di kaolewa halafu alikuwa anamjua Chaz vizuriIna maana Diana aliingilia mahusiano ya watu yaliyokuwepo kwa muda mrefu ?
Siyo ubaguzi.Kuna watu hapa duniani huwa hawaeleweki baada ya dakika mbili watafanya kiroja gani!Siyo wa kuwaamini.And,the only good way of keeping your beloved ones safe from the enemies,is to keep the distance!😂😂😂😂
Kumuepuka mtu asiyekufaa ni ubaguzi?Kila nikiangalia kamusi yangu inakataa.siku zote mbaguzi hua hajihisi kuwa yeye ni mbaguzi, wewe ni mmoja wao.
Kumuepuka mtu asiyekufaa ni ubaguzi?Kila nikiangalia kamusi yangu inakataa.
Umewahi kuniona au niwawekee maneno mdomoni?sasa na nyinyi watu weusi munapoepukwa mbona munalialia ubaguzi ?
Kwani hata wanawake si wapo kwenye list ya ufalme? Itawezekana vip mtoto wa philip awe mfalme kama baba yake atangatuka wakati philip ana dada yake?Dada yake kivipi wakati mwamba ana mtoto?
Wapo kwenye list ya Ufalme lakini sio hivyo unavyofikiri wewe wanavyopangwaKwani hata wanawake si wapo kwenye list ya ufalme? Itawezekana vip mtoto wa philip awe mfalme kama baba yake atangatuka wakati philip ana dada yake?
Nilisoma habari za kifo cha princess D lile tukio lilipangwa na mbaya zaidi hata mwandishi alofatilia ile ajali aliwekwa kizuizini huko Marecan na kitabu chake kilizuiliwa kuuzwa.
Kikubwa nilicho-note mzungu na mwarabu ni paka na panya na hatua walokuwa wamefikia Diana na huyo mchumba wake mwenye asili ya Misri ingekuwa ni aibu kwa familia ya malkia Elizabeth piga ua ingefika kipindi mwanaharam angekuwa ndani ya kasri la malkia
Diana na Dodi walianza mahusiano baada ya Di kuachana na mumewe. Kabla hajaanza mahusiano na Dodi alikuwa na mahusiano na Daktari mmoja somebody Khan.Alianza kitambo.Tusubiri simulizi la kiuchunguzi.
Eeh! Hii sikuijua Mkuu.Na mchezo ukaendelea Andrew Parker Bowles akatembea na Princess Anne Dada yake Chaz haha
Ilikuwa arranged marriage. Diana hakuwa na kauli.Ina maana Diana aliingilia mahusiano ya watu yaliyokuwepo kwa muda mrefu ?
Unatamani ingekuwa wewe sio ?Huyo Diana alipata bahati sana kwa mwarabu, ngozi ya mtume ile acha kabisa. Ila sikupenda uchumba wao, uchi uchi tu. Mungu hapendi huo ujinga.
Wangeleta hizo pesa hapa KISIJU tujenge Misikiti na Madrassa.Nje ya mada,.
Waingereza (watawala) hawashibani na waarabu, vipi waarabu wanalimezea soko la mpira wa miguu England kwa kununua timu hasa za pale EPL, itakuaje huko mbeleni.?!
Au wanawa time wapite na vichwa kama bwana Roman Abramovic?
Wamarekani ndo wanapata nafasi kubwa kuzinunua timu. Kwa epl mpaka sasa zile best 4 za awali zipo chini ya wamerekani.
Liverpool
Manchester utd
Arsenal
Chelsea
We kula huku mi nakula hukuEeh! Hii sikuijua Mkuu.
Kabla alikuwa Major Hewitt halafu Dr halafu lile billionaire la [emoji631] halafu ndio DodiDiana na Dodi walianza mahusiano baada ya Di kuachana na mumewe. Kabla hajaanza mahusiano na Dodi alikuwa na mahusiano na Daktari mmoja somebody Khan.
Haswa na walikuwa hawataki Charles awe na camillaIlikuwa arranged marriage. Diana hakuwa na kauli.