Dodi Al Fayed mchumba wa Princess Diana mpaka Kifo!

Dodi Al Fayed mchumba wa Princess Diana mpaka Kifo!

[emoji3][emoji3]kasome kitabu kinaitwa THE DAY PRINCESS DIANA DIED, utajua kisa na mkasa cha princess kumuacha king Charles na kwenda kuanzisha mapenzi na mtoto wa billionaire wa Uk, Dodi, princess diana alikuwa ananyanyasika full kipigo kutoka kwa king Charles, charles mapenzi yake ayakuwa kwa Diana ni kama alijikuta tu kwenye ndoa naye, kwa kushinikizwa , ivyo charles alitafuta kimada ambaye sa hivi ndo mke wake,na ndo queen sa hivi, diana baada ya kuchoka manyanyaso akaamua atafute upendo ndo akajikuta kwa Dodi, icho kitu kilimuuzi marehemu queen Elizabeth na ikawa kama aibu kwa royal family, na ili kuzuia aibu zaidi , queen Elizabeth wakapanga assassination ya Diana, wakavizia ameenda france kula bata wakatengeneza ajali iliyomuua, iyo royal family wanaroho mbaya kisenge kuanzia queen Elizabeth , we huoni hadi harry kaamua kuwakataa kwa sababu za ubaguzi, kama queen na wanae walikuwa wanambagua harry na wife na watoto wa harry kisa ya asili ya merghan vipi kuhusu kuwapenda ngozi nyeusi na africa?
Sasa wewe Africa upendwe Kwa lipi ?

Stop this nonsense bro. Waafrica acheni upuuzi na kuona mnaonewa kila muda mnakera.
 
Duh ! Dunia inakwenda kasi sana. Ni juzi juzi tuu habari za mahusiano na kifo cha diana vilipamba moto, leo William anaonekana mzee mkongwe kweli kweli.

Natabiri huyu jamaa anaonekana na misongo ya kufa mtu na hawezi kumaliza ufalme wake ,atang'atuka kama babu yake Edward III na dada yake atatawazwa kuwa malkia. Ukoo huo ambao siuelewi maana wawe wa ujombani wanaongoza ila wanawake wanaonekana wapo imara zaidi ya wanaume
Dada yake nani atatawazwa kuwa Malkia?
 
She was cute View attachment 2363079
images%20(5).jpg
 
Nje ya mada,.

Waingereza (watawala) hawashibani na waarabu, vipi waarabu wanalimezea soko la mpira wa miguu England kwa kununua timu hasa za pale EPL, itakuaje huko mbeleni.?!

Au wanawa time wapite na vichwa kama bwana Roman Abramovic?

Wamarekani ndo wanapata nafasi kubwa kuzinunua timu. Kwa epl mpaka sasa zile best 4 za awali zipo chini ya wamerekani.
Liverpool
Manchester utd
Arsenal
Chelsea
 
Dakika ishirini(umeipata hiyo? Ambulance inakwenda kabla ya ajali kutokea) kabla ajali haijatokea, ambulance iliondoka kutoka kwenye American Military Hospital in Paris kwenda kumchukua Diana. Akachukuliwa Diana akapelekwa kwenye Ile hospitali ya Wamarekani ingawa hospitali nyingine ilikuwepo karibu.
Lakini mimi napinga watu kuibua hizi scandals wakati huu wa maombolezo. Inaonyesha disrespect for the dead.
Haya mambo yalikuwa yanasemwa siku mbili tu au tatu baada ya ajali kutokea ili kuwasuta wale waliokuwa wanatangaza habari za uongo. In other words,haya mambo yalikuwa yanasemwa in real time, wakati ule ule yalipokuwa yanatokea. Lakini ukiyazungumzia sasa,unafukua makaburi,na hilo ni kosa
History will always put us in our right places!!!!

Is just a matter of time...
 
Back
Top Bottom