Mi Corazon
Senior Member
- Oct 16, 2018
- 162
- 253
Investigation Discovery Channel wamesema baada ya uchunguzi wa muda mrefu, next week wanakuja na full documentary kuhusu vifo vya watu hawa wawili. Tunasubiria.
Ipo kwenye DSTV channel namba ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Investigation Discovery Channel wamesema baada ya uchunguzi wa muda mrefu, next week wanakuja na full documentary kuhusu vifo vya watu hawa wawili. Tunasubiria.
Sidhani Kama ni pepo la ngono, Bali alikosa mahaba kutoka kwa mumewe, Charles alikuwa anampenda mtu mwingineDiana nafikiri alikuwa na pepo la ngono. Kuna uwezekano mkubwa Harry siyo mtoto wa Charles.
Yeah kuna za chinichini kwamba Harry ni mwana haram, wanasema Princess Diana alikuwa anacheat na Dodi wakati yuko na Charles,Diana nafikiri alikuwa na pepo la ngono. Kuna uwezekano mkubwa Harry siyo mtoto wa Charles.
Diana alikosea.Ingawa washabiki wake wanampenda sana na kumtetea.Kuna mambo hawayafikirii kwa undani kiasi;Dody alikua keshampa mimba mrembo Diana Imagine mtoto angezaliwa alafu akaitwa prince Osama Dody Al-fayed mjukuu kwenye familia ya bi Elizabeth.
Kheeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dody alikua keshampa mimba mrembo Diana Imagine mtoto angezaliwa alafu akaitwa prince Osama Dody Al-fayed mjukuu kwenye familia ya bi Elizabeth.
😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅ila mkuuSamia anahusika nini hapo? Samia mwenyewe ungejua hata hajui afanyalo yupo tu ngoja liende!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dody alikua keshampa mimba mrembo Diana Imagine mtoto angezaliwa alafu akaitwa prince Osama Dody Al-fayed mjukuu kwenye familia ya bi Elizabeth.
Hayo Sasa matusiKuliko mkeo
Wazungu wanavyojua kujiachia leo hii uanze kupangiwa kula kwasababu ya dini na watu wanatafuta pesa kwa jasho lao. Mwaraabu siyo mtu mzuri hata kidogo. Ninayoona Zanzibar kipindi cha Ramadhan hakika Waingereza waliona mbali sana.Dodi (mtoto wa aliyekua Mmiliki wa Fulham FC) ndie alimvalisha Pete ya uchumba princess Diana Ila bahati mbaya hawakufikia ndoa. Laiti Leo hii Princess angekuwa hai basi Mfalme (ajae) wa Uingereza, Prince William angekuwa na ndugu wanaechangia Mama tokea nje ya Uingereza. Hakika dunia ingekuwa mahali salama pa kuishi. No more threats yaani ni full peace.
Dodi kwani alikua dhehebu gani?Wazungu wanavyojua kujiachia leo hii uanze kupangiwa kula kwasababu ya dini na watu wanatafuta pesa kwa jasho lao. Mwaraabu siyo mtu mzuri hata kidogo. Ninayoona Zanzibar kipindi cha Ramadhan hakika Waingereza waliona mbali sana.
Acha uongo wewe,hakuna timu inaitwa Fulham United,Wala Dodi si mtoto wa mmiliki wa Fulham fc
Bali aliyewahi kuwa mmiliki wa Fulham ni bwn Mohamed Al Fayed,baba wa Dodi,muingereza mwenye asili ya Misri mmiliki wa maduka ya Harrods,ambaye kipindi Cha kifo Cha Dodi na Dianna hakuwa mmiliki wa Fulham
Mmiliki wa Sasa wa Fulham ni Sajjad Khan, muingereza mwenye asili ya Pakistan
The saga continues..Ahsante mkuu kwa kurekebisha makosa hapo juu. Pia kuna baadhi ya makosa madogo umefanya katika majina na uraia wa muhusika.
Kwa kuanza na jina la mmiliki wa klabu ya Fulham kutoka jijini London ni Bwana Shahid Rafiq Khan
Na kwa upande wa uraia si Mwingereza. Bali ni Mmarekani mwenye asili ya Pakistan kwa kuzaliwa.
Walisema sana ila mwisho Malkia akatoa makucha kwa hasira akasema muache Mara moja kufuatilia familia la sivyo tuna mkono mrefu (kitu kama hicho)Hizi vitu media za Magharibi hawasemagi ukweli kabisa
Dhehebu la islamic state..Dodi alikua dini gani?
Walikuwa wanneKila kitu kilikuwa kigumu kwa Princess Diana wakati ule.
Mume anachepuka humu humu kwenye kasri.
Huwezi kutoka kwenda kuolewa huko uarabuni.
Ilifikia akawa anakulwa na mwalimu wake wa farasi.
Ila kuna vitu huwezi zuia, especially nyegezi
😡😡😡😡[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app