Uchaguzi 2020 Dodoma: Anthony Mavunde azomewa na wananchi

Anaingiaje kwenye gari wakati tayari yupo kwenye gari? Watu wawili kusema 'nenda' ndio unasema 'wananchi wamemzomea'?
 
Heche ana lipi la ajabu, kuomba serikali inunue ndege na huyo huyo kupinga ununuzi wa ndege? Umetumia kigezo gani kulinganisha Tarime na Nkasi...jamaa mmoja hapa JF alisema Ndalichako hawezi kuchaguliwa kwasababu ya "dini" yake!
Uwe unatumia akili kufikiri sio kujenga mawazo ya kijinga kichwani mwako,yes alisema serikali inunue ndege lakini sio kununua kwa cash na kutofata kanuni za kimanunuzi!.

Heche alipinga njia zilizotumika kununua ndege hizo kuwa zilikuwa na ufisadi wa kutisha ndani yake.
 
Nina wasiwasi na hii clip, legitimacy yake inatia shaka
  1. Ya huko nyuma AU
  2. Edited AU
  3. Mamluki walichomekwa AU
  4. Mamluki waliandaliwa for the sake of recording
Hii clip imeripotiwa JF tu, else where NO
 
Acha uongo wewe mmeshindwa kihalali hata waangalizi wa kimataifa wamesema uchaguzi umeenda vizuri na salama sasa wewe uko Tanzania au ughaibuni.
ubalozi wa uk na usa wanasemaje ? au waangalizi wa burundi hahaha
 
Nina wasiwasi na hii clip, legitimacy yake inatia shaka
  1. Ya huko nyuma AU
  2. Edited AU
  3. Mamluki walichomekwa AU
  4. Mamluki waliandaliwa for the sake of recording
Hii clip imeripotiwa JF tu, else where NO
Mmeshakataliwa na huyo dikteta wenu
 
Kwa kawaida si wote watakuchagua, ndivyo ilivyo, Mavunde piga kazi. Imeisha hiyoo
 
Nina wasiwasi na hii clip, legitimacy yake inatia shaka
  1. Ya huko nyuma AU
  2. Edited AU
  3. Mamluki walichomekwa AU
  4. Mamluki waliandaliwa for the sake of recording
Hii clip imeripotiwa JF tu, else where NO
Iko hivi:

Rais alikuwa anatoka Babati kuja Dodoma.
Hao wananchi wa eneo la msalato mnadani walitangaziwa siku mbili kabla kwamba Rais atasimama awasikilize kero zao,,lakini kwa sababu ambazo hazikujulikana akawapita ,hakusimama.

Wananchi wakachukia ...wakaanza kumlalamikia huyo Mbunge.

Ukisikiliza kwa makini utaskia maneno


"wewe hautuhusu....tangu tukuchague Leo ndo unakuja"
 
Tena hapo ni Dodoma wanapojisifu ni ngome yao, CCM wajinga kweli, yaani kwenye ngome yenu wenyewe hamtakiwi, halafu mkachukue ngome za wenzenu?!

Wizi mtupu.
Kwa kipigo mlichopata hata mbunge wa Ccm akijamba mtafanya habari.
 
ubalozi wa uk na usa wanasemaje ? au waangalizi wa burundi hahaha
Sisi tunaongelea waangalizi wa Uchaguzi hao mabalozi tulishawazoea hata wakati wa Corona walisema watz wanakufa mabarabarani na kwamba hospitali zetu zimejaa wagonjwa wakati haikuwa kweli baadae waliujua ukweli na kwa aibu wakaamua kubadarisha mabalozi wao.
 
Waangalizi toka kwa Nkurunzinza hahahahahahahaa
 
Hili likitokea kila mahali huku itapendeza sana. Hii ndio dawa ya wajinga kama hawa waliojichagua kwa kujidai wana dola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…