Uchaguzi 2020 Dodoma: Anthony Mavunde azomewa na wananchi

Uchaguzi 2020 Dodoma: Anthony Mavunde azomewa na wananchi

muongo Mimi nilikuwepo hapo ni msalato mnadani...najua kilichotea ni kwamba Watu walichukia kwa sababu msafara wa Rais haukusimama
..clip ya siku nyingi.
Unawezaje kusema mtu ni muongo bila kumthibitishia kwa ushahidi ni muongo?

Mimi nimeleta ushahidi wa video Mavunde kuzomewa na wananchi wa Dodoma mjini kipindi alipoenda kushukuru.

Unajua kwanini polepole amekataza kushukuru?[emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji39]Sema mkuu amechukia Nini uyo peremende
 
Tunaanza rasmi maandamano kesho, wasubiri na bado. Genge la magu wangejua wangeacha uchaguzi wa haki, bado jiwe angeshinda tu sababua anapendwa na wengi sana, ila wabunge wengi wasingepata nafasi. Yeye kalikoroga
 
Habari wakuu!

Jana, Oct 30 2020 Mbunge aliyeshinda jimbo la Dodoma mjini kwa tiketi ya CCM, ndugu Anthony Mavunde ameshindwa kuongea na wananchi wa Dodoma mjini baada ya kundi kubwa kuanza kumzomea.

Kitu hicho kilimpelekea kuingia kwenye gari na kuondoka kwa aibu kubwa.

Wananchi hao walisikika wakisema " WE NENDA, HATUKUTAKI , HATUJAKUCHAGUA, PANDA GARI UENDE ZAKO"

Hali iliyozua maswali mengi mtandaoni kwamba inakuwaje kuzomewa na kundi kubwa vile tena kipindi alipoenda kutoa shukrani kuchaguliwa?

Hii inaashiria nini tuendako? Na Dodoma si ngome ya CCM?

Je, wananchi wanatuma ujumbe gani kwa hili tukio?

Kusema wenye nchi ni wananchi?

Nisiwachoshe kwa maswali tazama mkasa mzima hapo chini.

View attachment 1616367
Jinsi lilivyo jinga n lipumbavu linaenda kushukuru wananchi ambao hawakumchagua,lingeeda ofisi za nec na ikulu kumshukuru meko
 
Sasa, sasa, saa ccm kwisha habari yao. Kwahiyo, kwahiyo kwahiyo tusitafutane ubaya. Mi naanda mawe mengi ili niingie nayo uwanjani wakati jpm atakapokuwa anaapiswa ili, ili, ili nimdungue
 
Tunaanza rasmi maandamano kesho, wasubiri na bado. Genge la magu wangejua wangeacha uchaguzi wa haki, bado jiwe angeshinda tu sababua anapendwa na wengi sana, ila wabunge wengi wasingepata nafasi. Yeye kalikoroga
Aisee.. Kujifariji tu hamjambo
 
Yaan hapa upo tandahimba unasema utakua na mawe😂 Nyie ndio Nguvu ya Umma au sio😂😂
Nipo hapahapa Dom. Nyie si mmeiba Kura kwa mabox. Sasa subiri uone Kama inji hii itatawalika kirahisi. Zitto wamesui mpaka wakala wake kuingia chumba Cha kujumliehia.sasa sasa sasa mtaona Cha mtema kuni. Na Kama mungu yupo Basi naomba anisaidie Mana namuwinda Sana jpm
 
Wameiba kura zaidi ya 50% unajua hadi walioiba nawashangaa, kuna kuiba kwa akili na kuna kuiba hadi watu wanaishia kucheka, total madness. Hii ni sawa na ile walisema wanadai barrick $190bil yaani unapitiliza hadi watu wanaishia kushangaa
 
Back
Top Bottom