FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Anaingiaje kwenye gari wakati tayari yupo kwenye gari? Watu wawili kusema 'nenda' ndio unasema 'wananchi wamemzomea'?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwe unatumia akili kufikiri sio kujenga mawazo ya kijinga kichwani mwako,yes alisema serikali inunue ndege lakini sio kununua kwa cash na kutofata kanuni za kimanunuzi!.Heche ana lipi la ajabu, kuomba serikali inunue ndege na huyo huyo kupinga ununuzi wa ndege? Umetumia kigezo gani kulinganisha Tarime na Nkasi...jamaa mmoja hapa JF alisema Ndalichako hawezi kuchaguliwa kwasababu ya "dini" yake!
ubalozi wa uk na usa wanasemaje ? au waangalizi wa burundi hahahaAcha uongo wewe mmeshindwa kihalali hata waangalizi wa kimataifa wamesema uchaguzi umeenda vizuri na salama sasa wewe uko Tanzania au ughaibuni.
Mmeshakataliwa na huyo dikteta wenuNina wasiwasi na hii clip, legitimacy yake inatia shaka
Hii clip imeripotiwa JF tu, else where NO
- Ya huko nyuma AU
- Edited AU
- Mamluki walichomekwa AU
- Mamluki waliandaliwa for the sake of recording
Iko hivi:Nina wasiwasi na hii clip, legitimacy yake inatia shaka
Hii clip imeripotiwa JF tu, else where NO
- Ya huko nyuma AU
- Edited AU
- Mamluki walichomekwa AU
- Mamluki waliandaliwa for the sake of recording
Kwa kipigo mlichopata hata mbunge wa Ccm akijamba mtafanya habari.Tena hapo ni Dodoma wanapojisifu ni ngome yao, CCM wajinga kweli, yaani kwenye ngome yenu wenyewe hamtakiwi, halafu mkachukue ngome za wenzenu?!
Wizi mtupu.
Kawaulize misri nguvu ya umma ni niniKumbe Unamaanisha nguvu ya kutype nyuma ya keyboard,kama unavyofanya wewe hapa jf kila siku
[emoji848]?
Sisi tunaongelea waangalizi wa Uchaguzi hao mabalozi tulishawazoea hata wakati wa Corona walisema watz wanakufa mabarabarani na kwamba hospitali zetu zimejaa wagonjwa wakati haikuwa kweli baadae waliujua ukweli na kwa aibu wakaamua kubadarisha mabalozi wao.ubalozi wa uk na usa wanasemaje ? au waangalizi wa burundi hahaha
Waangalizi toka kwa Nkurunzinza hahahahahahahaaSisi tunaongelea waangalizi wa Uchaguzi hao mabalozi tulishawazoea hata wakati wa Corona walisema watz wanakufa mabarabarani na kwamba hospitali zetu zimejaa wagonjwa wakati haikuwa kweli baadae waliujua ukweli na kwa aibu wakaamua kubadarisha mabalozi wao.
Hili likitokea kila mahali huku itapendeza sana. Hii ndio dawa ya wajinga kama hawa waliojichagua kwa kujidai wana dolaHio ndio uniform kwa Tanzania nzima ,tusimuonee haya mvivu mzembe mzururaji na mwizi wa maamuzi ya Watanzania ,CCM lazima mwaka huu watarudi nchini kwao,wengi inasemekana wanatokea Rwanda na Burundi , Watanzania tumewashitukia.
Mbunge hata akiingia msikitini au kanisani ama atoke yeye au aachwe peke yake ndani ya sinagogi. Zanzibar imeshaanza msikitini wanaachwa peke yao,akiingia liciciemuwatu wanaondoka wanaenda kuswali kwengine.
They made it to win!Mkuu haingii akilini watu wa Tarime vijijini wamkatae John Heche alafu watu wa Nkasi ndio wamchague Aida Kenani[emoji23][emoji23]
Wizi Mtupu.