Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu haingii akilini watu wa Tarime vijijini wamkatae John Heche alafu watu wa Nkasi ndio wamchague Aida Kenani[emoji23][emoji23]Tena hapo ni Dodoma wanapojisifu ni ngome yao, CCM wajinga kweli, yaani ngome yenu wenyewe hamtakiwi, halafu mkachukue ngome za wenzenu?!
Wizi mtupu.
Kweli mkuu maana wazomeaji waliokuwa bungeni wametolewa kwa nguvu ya wananchi na sasa wapo mitaani,Na bado watazomewaa sanaa
Heche kuchaguliwa vizuri tena kwa kura nyingi mno lakini mwita waitara kalinajisi kabaka sanduku la kura kwa njia haramu za kishetaniMkuu haingii akilini watu wa Tarime vijijini wamkatae John Heche alafu watu wa Nkasi ndio wamchague Aida Kenani[emoji23][emoji23]
Wizi Mtupu.
Mbinu au ni UHALISIA?Mbinu ile ile ya Wapinzani....."Rweikiza azomewa....", "JPM azomewa Bukoba..." aina hii ya 'siasa' itawachukua miaka mingine 100 kupewa uongozi..!
Kwanini msiwe wabunifu hata kukopy kwa nchi jirani mf. Kenya?
Heche ana lipi la ajabu, kuomba serikali inunue ndege na huyo huyo kupinga ununuzi wa ndege? Umetumia kigezo gani kulinganisha Tarime na Nkasi...jamaa mmoja hapa JF alisema Ndalichako hawezi kuchaguliwa kwasababu ya "dini" yake!Mkuu haingii akilini watu wa Tarime vijijini wamkatae John Heche alafu watu wa Nkasi ndio wamchague Aida Kenani[emoji23][emoji23]
Wizi Mtupu.
Waliopo Bungeni sasa siyo chaguo la wapiga kura bali ni wateule wa wakurugenziccm, NECCCM Tumeccm na polepoleKweli mkuu maana wazomeaji waliokuwa bungeni wametolewa kwa nguvu ya wananchi na sasa wapo mitaani,
Isitoshe wakafanya mauaji ya kada wa chadema ( RIP)Heche kuchaguliwa vizuri tena kwa kura nyingi mno lakini mwita waitara kalinajisi kabaka sanduku la kura kwa njia haramu za kishetani
Niko tayari kujiunga na kikundi cha ugaidi bila malipo
Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka uchaguzi kwa njia haramu za kishetaniMbinu au ni UHALISIA?
Kuna mtu wa upinzani kamzomea Mavunde hapo?
Si wananchi wenyewe tena kambi ya CCM?
Ndio maana kila mtu hadi dunia inashangaa ushindi huu wa kutengenezwa.
Nobody is happy from the heart!
Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi kwa njia haramu za kishetaniIsitoshe wakafanya mauaji ya kada wa chadema ( RIP)
Huu ni USHETANI.
Unadhani nitatumia nguvu kukuelewesha wakati ukweli unajua kuhusu wizi huu na ushahidi wa picha na video upo?Heche ana lipi la ajabu, kuomba serikali inunue ndege na huyo huyo kupinga ununuzi wa ndege? Umetumia kigezo gani kulinganisha Tarime na Nkasi...jamaa mmoja hapa JF alisema Ndalichako hawezi kuchaguliwa kwasababu ya "dini" yake!
Una maanisha mbinu ya kujitoa mhanga au mbinu gani hiyo? iweke wazi basi hiyo mbinu ili watu waijue, labda kuna wa kujitolea humu na kuifanikisha kwa niaba ya wengine...Mbinu ile ile ya Wapinzani....."Rweikiza azomewa....", "JPM azomewa Bukoba..." aina hii ya 'siasa' itawachukua miaka mingine 100 kupewa uongozi..!
Kwanini msiwe wabunifu hata kukopy kwa nchi jirani mf. Kenya?
Ukubali kuporwa HAKI?Najua huna roho mbaya hiyo magaidi ulimwenguni kote wanapigwa vita hakuna amani katika ugaidi..tujifunze kukubaliana na matokeo.
Katika ushindani kuna kushinda na kushindwa na ukishindwa jipange kwa mashindano yajayo.
Hongera Magufuli,Hongera Mwinyi,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Haswaa.. warudi kwa TIBANTUNGANYA hukooo😁CCM lazima mwaka huu watarudi nchini kwao,wengi inasemekana wanatokea Rwanda na Burundi , Watanzania tumewashitukia.
Ugaidi huletwa na watu kunywimwa haki zao watu kuporwa haki zao, CCM ndiyo inatengeneza mazingira ya ugaidi, CCM ni chanzo cha ushetani wote Nchini, Ushindani upi? Kuna kushinda na kushindwa? Magufuli kashinda uchaguzi upi? Wateule wa wakurugenziccm NECCCM Tumeccm na Polisiccm eti wanajiita washindi? Kwa uchaguzi upi? Hongera mtukufu magufuli kwa kitu kipi? au unampa hongera kwa kupora Nchi kwa njia haramu za kishetani pasipo idhini ridhaa ya wapiga kura?Najua huna roho mbaya hiyo magaidi ulimwenguni kote wanapigwa vita hakuna amani katika ugaidi..tujifunze kukubaliana na matokeo.
Katika ushindani kuna kushinda na kushindwa na ukishindwa jipange kwa mashindano yajayo.
Hongera Magufuli,Hongera Mwinyi,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Siwezi kukubali UHUNI huu mpaka naingia kaburini.Tuendelee kupokea Tuli0chochaguliwa
Hata kama wew hukuchaguA[emoji35]
Edited clip wadanganye wanasaccos.Habari wakuu!
Jana, Oct 30 2020 Mbunge aliyeshinda jimbo la Dodoma mjini kwa tiketi ya CCM, ndugu Anthony Mavunde ameshindwa kuongea na wananchi wa Dodoma mjini baada ya kundi kubwa kuanza kumzomea.
Kitu hicho kilimpelekea kuingia kwenye gari na kuondoka kwa aibu kubwa.
Wananchi hao walisikika wakisema " WE NENDA, HATUKUTAKI , HATUJAKUCHAGUA, PANDA GARI UENDE ZAKO"
Hali iliyozua maswali mengi mtandaoni kwamba inakuwaje kuzomewa na kundi kubwa vile tena kipindi alipoenda kutoa shukrani kuchaguliwa?
Hii inaashiria nini tuendako? Na Dodoma si ngome ya CCM?
Je, wananchi wanatuma ujumbe gani kwa hili tukio?
Kusema wenye nchi ni wananchi?
Nisiwachoshe kwa maswali tazama mkasa mzima hapo chini.
View attachment 1616367