Uchaguzi 2020 Dodoma: Anthony Mavunde azomewa na wananchi

Mkuu, hapo alipo zomewa ilikua mitaa gani?
Maswali gani hayo?
 
Mbinu ile ile ya Wapinzani....."Rweikiza azomewa....", "JPM azomewa Bukoba..." aina hii ya 'siasa' itawachukua miaka mingine 100 kupewa uongozi..!
Kwanini msiwe wabunifu hata kukopy kwa nchi jirani mf. Kenya?
Mbinu au ni UHALISIA?

Kuna mtu wa upinzani kamzomea Mavunde hapo?

Si wananchi wenyewe tena kambi ya CCM?

Ndio maana kila mtu hadi dunia inashangaa ushindi huu wa kutengenezwa.

Nobody is happy from the heart!
 
Mkuu haingii akilini watu wa Tarime vijijini wamkatae John Heche alafu watu wa Nkasi ndio wamchague Aida Kenani[emoji23][emoji23]

Wizi Mtupu.
Heche ana lipi la ajabu, kuomba serikali inunue ndege na huyo huyo kupinga ununuzi wa ndege? Umetumia kigezo gani kulinganisha Tarime na Nkasi...jamaa mmoja hapa JF alisema Ndalichako hawezi kuchaguliwa kwasababu ya "dini" yake!
 
Heche kuchaguliwa vizuri tena kwa kura nyingi mno lakini mwita waitara kalinajisi kabaka sanduku la kura kwa njia haramu za kishetani
Isitoshe wakafanya mauaji ya kada wa chadema ( RIP)

Huu ni USHETANI.
 
Niko tayari kujiunga na kikundi cha ugaidi bila malipo

Najua huna roho mbaya hiyo magaidi ulimwenguni kote wanapigwa vita hakuna amani katika ugaidi..tujifunze kukubaliana na matokeo.

Katika ushindani kuna kushinda na kushindwa na ukishindwa jipange kwa mashindano yajayo.

Hongera Magufuli,Hongera Mwinyi,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Mbinu au ni UHALISIA?

Kuna mtu wa upinzani kamzomea Mavunde hapo?

Si wananchi wenyewe tena kambi ya CCM?

Ndio maana kila mtu hadi dunia inashangaa ushindi huu wa kutengenezwa.

Nobody is happy from the heart!
Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka uchaguzi kwa njia haramu za kishetani
 
Heche ana lipi la ajabu, kuomba serikali inunue ndege na huyo huyo kupinga ununuzi wa ndege? Umetumia kigezo gani kulinganisha Tarime na Nkasi...jamaa mmoja hapa JF alisema Ndalichako hawezi kuchaguliwa kwasababu ya "dini" yake!
Unadhani nitatumia nguvu kukuelewesha wakati ukweli unajua kuhusu wizi huu na ushahidi wa picha na video upo?

Lissu kwenye kufunga kampeni alitangaza kuna taarifa matokeo yapo mezani magu ana kura 12m tayari na unabii ukatimia.

Walishindwa kubadilisha kwasababu hesabu ingefail.[emoji23][emoji23]
 
Mbinu ile ile ya Wapinzani....."Rweikiza azomewa....", "JPM azomewa Bukoba..." aina hii ya 'siasa' itawachukua miaka mingine 100 kupewa uongozi..!
Kwanini msiwe wabunifu hata kukopy kwa nchi jirani mf. Kenya?
Una maanisha mbinu ya kujitoa mhanga au mbinu gani hiyo? iweke wazi basi hiyo mbinu ili watu waijue, labda kuna wa kujitolea humu na kuifanikisha kwa niaba ya wengine...
 
Ukubali kuporwa HAKI?

Watu wanaiba na kupora masanduku ya kura ili kupika data alafu tukubali?

Hakuna kitu kama hicho kwa MTU mwenye akili timamu.

Mmetudharau wananchi kutupa watu hatujawachagua mkajaza makura feki.
 
Ugaidi huletwa na watu kunywimwa haki zao watu kuporwa haki zao, CCM ndiyo inatengeneza mazingira ya ugaidi, CCM ni chanzo cha ushetani wote Nchini, Ushindani upi? Kuna kushinda na kushindwa? Magufuli kashinda uchaguzi upi? Wateule wa wakurugenziccm NECCCM Tumeccm na Polisiccm eti wanajiita washindi? Kwa uchaguzi upi? Hongera mtukufu magufuli kwa kitu kipi? au unampa hongera kwa kupora Nchi kwa njia haramu za kishetani pasipo idhini ridhaa ya wapiga kura?
 
Edited clip wadanganye wanasaccos.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…