Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"bila kujali haki imetendeka au lah"Uchaguzi wa mwaka huu, Mungu atusaidie sana amani itamalaki na uvumilivu uwepo kila mahali,bila ya kujali haki imetendeka au laah.
Awamu hii ya 5 hilo linawezekana kbs...najua serikali haitafanya chochote hapo kama tu ilivyotokea kwa kifo cha Mawazo.Unaweza kuta 7bu ni mambo haya haya ya siasa
Kupoteza roho ya mtu kwa sababu yoyote ile ni jambo lisilovumilika, ni ovu, na linastahili kulaaniwa haswa, sio kusema tu RIP.
Natumai polisi watafanya uchunguzi wao, wawakamate wahusika wafikishwe panapostahili sheria ichukue mkondo wake.
Hii huenda ikawa ni kazi ya watu wasiojulikana na lengo likiwa ni kuanza kutisha watu.
Subiri kuona danadana za uchunguzi wa hili tukio ndio utajua ni kina nani wanahusika.
Hapo utakuja kuambiwa ni ugomvi wa wana kijijiNa kwanini huwezi Kuamini kuwa inaweza isiwe ni mambo ya Kisiasa?
Tuwekee picha tumfahamu utambulisho wa majina mawili unagongana gongana(majina common)
Kama hajawahipo kuitwa polis na kuwekwa ndani kwa sababu za kisiasa hapo ungaliwasema chadema lkn week 2 tu zimepita katoka polis kwa ishu za kupachika bendera za chama cha chadema hapo tutasema hiyo ni mipango ya mda mrefu kwa kile kivuli munachojifichia munacho watangazia umma kama niwatu wasio julikanaChadema wameanza kuuwana wao kwa wao.
Kwa nini wasifanye kura za maoni kama ccm tu
Siku utakapo fiwa na mumeo/mke/mama yako akili ya kibinaadamu huenda itakurudia.Chadema.bana,hata kqma alikua anaiba mume wa mtu,wao wanasema ni siasa
Chemba nzima chadema hawafiki hata 200,
Wenye nchi yao watasema sababu ni "wivu wa kimapenzi". Hatari sana!Unaweza kuta 7bu ni mambo haya haya ya siasa
Vipi yule wa CCM aliyecharazwa mapanga? Au CCM wamuue huyo mama ili iweje?Malipo ni kabla ya uchaguzi , dawa ya moto ni moto
Pia unaweza kuta ni mambo haya haya ya mtu na mme watu, au migogoro mingineUnaweza kuta 7bu ni mambo haya haya ya siasa