Dodoma: Askofu Gwajima afika Bungeni kuhojiwa na Kamati ya Maadili akiwa na ulinzi wa Polisi

Polisi wa nini sasa kama sio kumpa promo huyu confused personality
 
Wawe makini sana, Askofu Gwajima kwa sasa anaonekana kama ndiye mkombozi wa kweli wa Watanzania.
 
Mbona hakumfufua baba yake?
 
Kwa kasi ya kuitetea chanjo ( mimi nimelazimika kuchanja siyo kwa hiari yangu) nina wasiwasi na kifo cha mwenda zake aliyekua anaipinga chanjo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…