Dodoma: Askofu Gwajima afika Bungeni kuhojiwa na Kamati ya Maadili akiwa na ulinzi wa Polisi

Dodoma: Askofu Gwajima afika Bungeni kuhojiwa na Kamati ya Maadili akiwa na ulinzi wa Polisi

Leo lazima kiti kiwake moto, nchi hii, imechezewa sana inahitaji watumishi bora kama Askofu Gwajima, kuitakasa kwa upako wa ufufuo na uzima. Chonde chonde wasije kumKorimba, mtumishi wa mwenyezi Mungu Mkuu, DR. Rashid Joseph Gwajima! Microphone, kaa mbali nayo mita moja.
Aliwahi kukufufua?
 
Bwana Yesu asifiwe!

Nimemuona askofu Gwajima akiingia bungeni akiwa ameongozana na walinzi wa amani.

Je ndio ameshakamatwa kufuatia agizo la wizara ya afya?

Mungu ni mwema wakati wote!
Angekuwa mtu wa upinzani mngesema kuwa haina tatizo kwa kuwa yuk chini ya vyombo vya usalama, ila kwakuwa ni mwanaccm mwenzenu mnashangaa? Lema/Lissu aliposema wakimalizana na upinzani watawageukia wa chumbani hamkuwaelewa?
 
Bwana Yesu asifiwe!

Nimemuona askofu Gwajima akiingia bungeni akiwa ameongozana na walinzi wa amani.

Je ndio ameshakamatwa kufuatia agizo la wizara ya afya?

Mungu ni mwema wakati wote!
Hakuna uhusiano,haya ni mahojiano tu,Bunge halina mamlaka hayo.

Niseme wazi kwamba haya ni mapompo tuliyo yazoea ya mzee wa madili,ila kwa Askofu Gwajima ata kwama,he is no match.
 
Mkombozi kutoka kwenye chanjo ya Corona,kwa kuwa amechangia pakubwa kuwa alert Watanzania kwamba chanjo ya C-19 si salama,which is 100% true.His message ime-circulate extremely fast.
Mtu labda ni kijana na afya njema, hata Corona ikikupitia una nafasi kubwa ya kupona lakini unashinda mitandaoni kuwatisha watu wenye afya zinazohitaji chanjo wasichanje kwa kuongozwa na hisia tu.
Dawa unazomeza na chanjo ulizodungwa utotoni usalama wake uliudhihirisha vipi?!
 
Ujue wanavyotaka kumlia timing!
Gwajima anaichezea CCM kweli, wakuu wa siasa zote nzuri na mbaya!
Ataijua Dodoma.
Amkumbuke Kolimba, katibu mkuu wa CCM.
Hapo ndipo wataharibu kabisa!Hata wale ambao walikuwa hesitant ndio itatoka.

Lakini usisahau kwamba Watanzania walio wengi, hata security forces, zinamuona Gwajima kama hero kwa kuwa amewatetea wasichanjwe kwa lazima.Reaction ya Sirro was a testimony to this.
 
Back
Top Bottom