Dodoma: Askofu Gwajima afika Bungeni kuhojiwa na Kamati ya Maadili akiwa na ulinzi wa Polisi

Dodoma: Askofu Gwajima afika Bungeni kuhojiwa na Kamati ya Maadili akiwa na ulinzi wa Polisi

Askofu Gwajima akiwa ameongoza na askari hao alielekezwa kukaa katika viti vilivyoko baada ya mashine ya kukagua iliyoko katika jengo la utawala akisubiri kuitwa ukumbini

"Naweza kukaa sehemu yeyote.."Askofu kama anastukia kiti cha kuelekezwa. Duuh! Akiri Neno la Mungu, "Hata tukilishwa vya kufisha, tutakanyaga nge na nyoka lakini..."
.
 
Hapo ndipo wataharibu kabisa!Hata wale ambao walikuwa hesitant ndio itatoka.

Lakini usisahau kwamba Watanzania walio wengi, hata security forces, zinamuona Gwajima kama hero kwa kuwa amewatetea wasichanjwe kwa lazima.Reaction ya Sirro was a testimony to this.
Sasa hivi atachomwa chanjo Gwajima.
 
Ikitokea Kamati ya kinga,Haki na madaraka ya Bunge ikimkuta iliemuita kuhojiwa kuwa na makosa ni kipi hutokea,
Watamkaripia
Watampa onyo
Watamtimua ubunge
Au watamsamehe?
Koment ziwe fupi fupi na msiniletee Gazeti.
Mwisho
 
Barakoa ni mpango wa kuua watu pole pole,sijui kwa nini watu wamekubali upuuzi huu.Kama mtu amesoma kidogo tu akifanya utafiti kidogo atapata ukweli wote.Mimi I must be frank,I hate seeing a person in a face mask.Namuone kama mtu ambaye amekubali kuwa yeye ni mtumwa na mjinga.
Kuwa specific, ni mpango wa nani huo kuua watu pole pole?
 
Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima amefika Bungeni Dodoma muda huu kuitikia wito uliomtaka kufika mbele ya Kamati ya Maadili na Madaraka ya Bunge ili kujibu tuhuma mbalimbali ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge.

Kweli ww ni shujaa umepewa hadi ulinzi wa kukusindikiza kwenda kuwachana ukweli wao aisee sijawahi ona chuma kama hichi, songa mbele mzee Baba Gwajiboy
 
Back
Top Bottom