Dodoma: Askofu Gwajima afika Bungeni kuhojiwa na Kamati ya Maadili akiwa na ulinzi wa Polisi

Dodoma: Askofu Gwajima afika Bungeni kuhojiwa na Kamati ya Maadili akiwa na ulinzi wa Polisi

Mtu labda ni kijana na afya njema, hata Corona ikikupitia una nafasi kubwa ya kupona lakini unashinda mitandaoni kuwatisha watu wenye afya zinazohitaji chanjo wasichanje kwa kuongozwa na hisia tu.
Dawa unazomeza na chanjo ulizodungwa utotoni usalama wake uliudhihirisha vipi?!
A stupid comment.
 
Askofu Gwajima akiwa ameongoza na askari hao alielekezwa kukaa katika viti vilivyoko baada ya mashine ya kukagua iliyoko katika jengo la utawala akisubiri kuitwa ukumbini.
Endelea kufuatilia Mwananchi

 
Ni ufufuo wa kiroho, si ule wa damu na nyama. Askofu Gwajima ndiye tumaini la wanyonge aliyebaki, na kijana machachari, Mheshimiwa, Humphrey Polepole.
Ila unachekesha sana jaman
 
Amemtaka shemeji yake mama Gwajima ajiandae kisaikolojia mana yatakayojiri !!!........
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Nimepanda ghorofa nne kupitia ngazi nikiwa nimeivaa, kidogo nizimie! Sirudii tena mchezo huo.
Barakoa ni mpango wa kuua watu pole pole,sijui kwa nini watu wamekubali upuuzi huu.Kama mtu amesoma kidogo tu akifanya utafiti kidogo atapata ukweli wote.Mimi I must be frank,I hate seeing a person in a face mask.Namuona kama mtu ambaye amekubali kuwa yeye ni mtumwa na mjinga.
 
1629717926812.png
 
Hapo ndipo wataharibu kabisa!Hata wale ambao walikuwa hesitant ndio itatoka.

Lakini usisahau kwamba Watanzania walio wengi, hata security forces, zinamuona Gwajima kama hero kwa kuwa amewatetea wasichanjwe kwa lazima.Reaction ya Sirro was a testimony to this.

Lazima ya kuchanja inakuja ni suala la muda tu. Huko tulipopewa msaada wa chanjo baada ya kufikia zaidi ya 40% walio chanja sasa baadhi ya states zao Waajiri kwa shinikizo la serikali wanaanza kufukuza kutoka kwenye ajira waajiriwa wote wale wasio chanja.

Kampuni zote zinazopewa ruzuku na serikali kama wafanyakazi wake hawajachanja na haziwafukuzi kazi wasio chanja serikali imekata ruzuku. Yajayo yanatisha.
 
Katiba ya CCM Inasema nitasema kweli uongo kwangu hapana
Gwajima kawaambie ukweli tu usipindishe hata kidogo
 
Back
Top Bottom