Mzee wa Code
Member
- Sep 23, 2024
- 61
- 91
Baadhi ya Wasimamizi wa Uchaguzi hawapo katika Vituo vya Kupigia Kura Jijini Dodoma, Mfano ni Kituo cha kupigia Kura Ofisi ya kata ya Chamwino hakuna msimamizi wa uchaguzi na Askari wote kwa pamoja hawapo kwenye vituo vya kupigia kura, Msimamizi wa Kituo cha kupigia kura Mtaa wa nduka chamwino pia hayupo katika kituo chake amewaachia uzimamizi makarani wa kupigisha kura na Askari
Kukosekana mawakala wa vyama, vituo vingi vya kupigia kura mawakala wa vyama hawapo vituoni kabisa uku makarani wakifanya kazi ya usaidizi wa kuwapigia kura baadhi ya wapiga kura
Ajabu katika uchaguzi huu askari wamekuwa wema sana hawataki kabisa kujiusidha kwa namna yoyote ile ya upigaji kura wamekuwa waangalizi wa usalama na sio vinginevyo wanatoa ushirikiano kwa wapiga kura kwa kiwango ambacho nimeshangaa jamaa wamelishwa nini