Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dp world kweli ataweza kuipendelea tanzania na kuwaacha wengine tena ambako amewekeza pia?
 
Tokea Uhuru Wataalamu ndio wameongoza kutafuna mali za umma.

Wewe pia ukipewa ofisi utaiba tu.

Kwahiyo ni bora tuwape nafasi wajinga (mama yenu) ili tuone madudu kama haya?

Tangu lini wataalamu waliwahi kuwa na maamuzi ya hatima ya nchi hii zaidi ya hao wanasiasa wenu wajinga wajinga, watalaamu wanaamua nini katika nchi hii?
 
Bila shaka Bunge litakuja na majibu mazuri, pamoja na ushauri ili kuboresha sehemu au mambo ambayo yanaonekana ayajakaa vizuri asa kwa upande wetu. Lakini pia huu mpango wa Serikali sio wa kuacha wala kubeza,naiona sasa bandari yenye tija,kuongeza mapato pamoja na kupungua kwa bei ya bidhaa za nje. MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Kwa huu Mkataba na aina ya Wabunge wachangiaji, laana aipate JPM kwa kuhujumu kura zetu na kutuletea takataka zilipo Bungeni.

Speaker, ni Dr wa Sheria, ila uelewa wake ni kama mtu wa Maendeleo ya Jamii.
Wabunge Wajinga ndio wachangiaji. Wale Vipanga kichwani wanajua ni mkataba wa Hovyo wametulia kuogoga kutumbuliwa.
 
Mbunge mmoja kichwa maji pamoja na Anna wanafananisha contracts za bomba la mafuta na huu mkataba wa DP W na serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…