Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Imagine,

Bandari ya Tanga kwa kwa asilimia kibwaniwe kwa ajili ya Uganda na Sudan ya Kusini tu.

Bandari ya Dar kwa asilimia kubwa iwe kwa ajili ya Rwanda na Burundi tu.


Bandari ya Mtwara kwa asilimia kubwa iwe kwa ajili ya Malawi na Zambia tu.


Bandari ya Bagamo kwa asilimia kubwa iwe kwa ajili ya Congo na Tanzania tu.

Mama anauoiga nwingi, tena sana.


Miaks 5 kuanzia leo tutegemee bajeti yetu kuwa surplus.
Surplus wali wewe
 
2025 ccm inaingia kwenye uchaguzi so hawawezi kuleta bomu..
Basi sawa Anne Kilango
 
Tangu lini wataalamu waliwahi kuwa na maamuzi ya hatima ya nchi hii zaidi ya hao wanasiasa wenu wajinga wajinga, watalaamu wanaamua nini katika nchi hii?
Vipi yule Mtaalamu wa mahesabu Professa Assad aliyefukuzwa na Magufuli baada ya kusema fedha zimeporwa?
 
Aisee hatuna kitu.
hatuna chetu tena, vitagawiwa kimoja baada ya kingine kimzahamzaha hivihivii
 
Huyo Mdee ndiyo aina ya wasomi wengi wa hapa Tz.Yaani unaingiza kujadili kipengele ambacho hakipo!Upuuzi.
 
Back
Top Bottom