Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Anne anasema, hiki kitu kinaenda kutuimarisha na Wabunge wakakitumie wakienda kuomba kura [emoji23] huyu Mama hawatakii mema Wabunge wenzie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaongea kwa lugha ya picha🤣🤣🤣Jamani huyo Bashiru si aongee na yeye khaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Surplus wali weweImagine,
Bandari ya Tanga kwa kwa asilimia kibwaniwe kwa ajili ya Uganda na Sudan ya Kusini tu.
Bandari ya Dar kwa asilimia kubwa iwe kwa ajili ya Rwanda na Burundi tu.
Bandari ya Mtwara kwa asilimia kubwa iwe kwa ajili ya Malawi na Zambia tu.
Bandari ya Bagamo kwa asilimia kubwa iwe kwa ajili ya Congo na Tanzania tu.
Mama anauoiga nwingi, tena sana.
Miaks 5 kuanzia leo tutegemee bajeti yetu kuwa surplus.
Dubai Porty Porty itafanyika hapa hapa Tz [emoji2]Fursa iliyobaki ni sisi kuuzwa
Vipi yule Mtaalamu wa mahesabu Professa Assad aliyefukuzwa na Magufuli baada ya kusema fedha zimeporwa?Tangu lini wataalamu waliwahi kuwa na maamuzi ya hatima ya nchi hii zaidi ya hao wanasiasa wenu wajinga wajinga, watalaamu wanaamua nini katika nchi hii?
Njoo Buguruni.Fursa iliyobaki ni sisi kuuzwa
Kwanini aipendelee Tanzania?Dp world kweli ataweza kuipendelea tanzania na kuwaacha wengine tena ambako amewekeza pia?
Na hakujua malengo ya Mungu.Alitaka kuiweka watu Wapumbavu ambao hawataweza kumpinga Kwa Kila kitu.
Hujamuona live, nikiwa mdogo nilikuwa napita hapo kwa PM Malecela ni jirani yetu kabisa mama anapaka sana mikorogo na make up za kutosha. Alikuwa na saluni yake hapo mjini kati DodomaAnne Kilango bado mcharo, maa shaAllah
Hana huo muda yeye anampigia debe shoga ake achaguliwa 2025 na yeye aweze kurudi tena jimboni kwake.Hili li mama hata mkataba wa makubaliano halijausoma .
Madhara gani kwani vizazi?madhara