Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Mifumo yote ya Tehama itakayosimikwa itasomana na mifumo tote ya serikali....

Hapo tutakuwa uchi kama Taifa kwani wadukuaji hawatotuacha salama
 
kwa haya makofi ya kina msukuma, kibajaji, lusinde, na wengine walioishia lasaba mkataba umepita, CCM ni ile ile.
 
Maana DP World wanapewa Berth 1-7 tu
8-11 zinabaki TPA kama kawaida

Mafuta, Gesi, Magari yanabaki TPA

Ulinzi unabaki kwa Tanzania

Mtwara na Tanga hazitahusika
Napenda mngesoma mkataba vizuri kabisa badala ya kusikiliza porojo za mbarawa labda watuambie kuwa ule mkataba ulio sainiwa ni fake
 
DP world ndio kampuni pekee yenye uzoefu katika uwekezaji wa Bandari, imewekeza katika nchi 6 ktk bara la Afrika na pia katika Bara la ulaya.

hii ni vita kati ya Makampuni mengine yaliyo kosa nfasi ya kuwekeza katik bandari yetu dhidi ya DP World.

tuwe makini tusicheze ngoma tusio ijua.
DP world ndio kampuni sahihi katika uwekezaji wa Bandari yetu.
 
Unaowaamini hawa?
 
Wanatabirika sana. Hoja itapita. Wakina Halima wata abstain. CCM wote ( pamoja na wale ambao watakuwa wakali sana na kuuliza maswali magumu wakati wa majadiliano) wataunga mkono. Ndivyo itakavyokuwa.

Amandla...
Naomba Mungu isiwe hivyo😭😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…