Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Leo Dkt. Kimei ana ongea utumbo sana. Sijui ana tafta Uwaziri? Yaani pesa zote alizoiba CRDB bado ana njaa tu?
 
Bashiru aliamua kukaa kimya kitambo maana mara zote ambazo aliongea, alijikuta anaingia kwenye mgogoro na wajinga wengi.

Udhani katika hili Bashiru ataunga mkono? Busara ni kukaa kimya.
Dr.Bashiru huyuhuyu ambaye "aliwezeshwa" kuwa KATIBU MKUU ikulu?!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bandari.
OK, tayari mmeshauzwa nyie manamba wa bara.
Watu milioni 60 wanazidiwa akili na wala urojo milioni 1
 
Tatizo la Tanzania ni Elimu, Elimu, Elimu

Watu wangesomeshwa kwa kupewa Elimu bora wangesimamia maslahi ya nchi
 
Hata Mbowe yuko kwenye maridhiano
 
Alitaka kutawala Milele hivyo alipanga safi! Yake!! Wakaja na slogan : "atake asitake".
Au mesahau ndugu zangu!?
 
Wakimalizana na hili wanakuja kwenye Mwendokasi
 
Kishikwambi cha mbunge wa iringa mjini Jesca msambatavangu ni KICHAFU kava CHAFU kweli, ni jinsi gani hawa watu ni wachafu kiakili mpaka mwili wao na sijui huko chini kukoje
Mtukane tu halafu kila siku anawaombea muongezewe stahiki zenu huko mashuleni.....

Badala ya kumsifu ashawishi maongezeko ya maslahi yenu mmeamua "kuwafanyisha watoto" mitihani kila SIKU....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nchi ya asali inatujia.....


Tunakwenda kupata NUSU YA BAJETI YA NCHI kila mwaka wa fedha kupitia bandarini......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…