Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Jamani eeh, mimi natoka kidogo. Likishapitishwa hili naomba mnistue nianze kunywa bia hukohuko nitakapokuwepo.
Halafu tukimaliza hili tugeukie Mwendokasi na SGR.
Mwendokasi hadi inatia huruma, zile barabara zimeshaanza kuota majani, vituo vimeshachakaa, mabasi nayo yapoyapo yanatangaza biashara.
SGR wameshaanza kushusha mabehewa ya ghorofa second hand toka Ujerumani 😂😂
Bado tunayasubiri yale mapya ya Korea