Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Bandari.
OK, tayari mmeshauzwa nyie manamba wa bara.
Watu milioni 60 wanazidiwa akili na wala urojo milioni 1
Huna akili.....

Hujitambui....

Kwani vetting iliporuhusu awe rais wetu hatukujua kuwa ni mzanzibari?!!!

Ukiacha ubongo tunaotumia sisi wewe huwa unatumia kiungo gani cha mwili kufikiria?!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
😂😂😂😂😂 Mbavu zangu.
 
Kwanza mama kwann karuhusu hili kujasiliwa wakati anajua Kuna shida kwenye hili? TISS wanachekelea hawaoni madhara kwa Sasa it's non sense
 
Tatizo la Tanzania ni Elimu, Elimu, Elimu

Watu wangesomeshwa kwa kupewa Elimu bora wangesimamia maslahi ya nchi
Kwa hiyo wabunge wetu hawana elimu bora ?!!!

Elimu bora inaingiaje katika kumkaribisha mwekezaji ambaye anakwenda kutuingizia fedha tele?!!!![emoji1787]
 
Waitara amekuwa mjinga kweli. Akirudi Tarime lazima tumtandike viboko.

Eti bi tozo aitwe Mama Wa Taifa?

Amenza pia personal attack kwa Mbowe. Kwanini asishambulie hoja zake?
 
Mnada mara nyingi husababishwa na Kodi za tra, ama nakosea?

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Ukweli ni kuwa bandarini juna mlolongo wa matatizo, kuanzia TRA mpaka Bandari yenyewe, mpaka custom officers, mpaka polisi wa bandarini, mpaka walinda usalama wetu.

Lakini msingi ni namna bandari zetu zinavyiendeshwa sasa hivi, bandari ikiwekwa sawa mianya mengine yitr utaobekana kiurahusi sana.

Kwa sababu linashikiliwa sana suala la mifumo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…