Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Akili yako ni ya kijinga sana na watu kama nyie usumbua sana kwenye jamii mkishindwa maisha usingizia jirani ananiloga, mtoto akiumwa jirani kaloga.
 
|Sikumsikia hata mbwa mmoja wa kijani akitanabaisha issues ya security kwenye boarder! Hizi mbwa zilikuwa zimejiandaa vilivyo! Namshukuru halima mdee kwa angalau kuonyesha msimamo! Nitatembea nchi nzima kupinga hili. Tutautafsiri huu wizi kwa lugha rahisi ya kiswahili
 
Security ipi ?!!!

Huna ujasiri huo....[emoji1787]

Utakapotembea kuwashawishi wananchi uasi utakutana nasi "green guard" tukiwa kikazi vichwani tumejaa "stimu" [emoji1787][emoji1787]

#MamaAnaupigaMwingi[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mlio na access na Mbarawa mnipe Elimu!
Nisije kuangamia kwa kukosa Elimu!
Ametahadharisha Anne Kilango Malecela!
 
Akili yako ni ya kijinga sana na watu kama nyie usumbua sana kwenye jamii mkishindwa maisha usingizia jirani ananiloga, mtoto akiumwa jirani kaloga.

Jiulize, hapa ww umechangia nini, zero contribution katika hoja, sema wapi mkataba uwe vizuri au kipi kirekebishwe, usiwe kama division 0 ya Mbowe.
 
sasa kuna uhusiano gani wa Tanzania na dubai katika mikataba hii na imani YAKO KWA MUNGU? tangu uanze kuwa na imani yako nini kimebadilika? Ila hongera
Bandari ni ya kwake Mungu, tumelalamika haijasaidia, yeye ndio atatuamlia huu utata.
 
Hivi ndivyo Mh Waziri alivyowaambia Wabunge , baada ya hapo akashangiliwa kwa kugonga meza .



Ambaye hajaelewa aniambie ili nimueleweshe .

Mungu ibariki Tanzania
 
Haya tumesikia na hatuna lakuongeza. Tuendelee kuchapa kazi na kazi iendelee. Wawakilishi wa wananchi wameshatuwakilisha vyema pale mjengi dodoma.
 
Mbowe na Chadomo haya fursa hiyo ya kufanya maandamano Nchi nzima kama mlivyosema 😆😆
 
Hadi Magufuli V2.0 apatikane nchi itakuwa imebaki na raslimali magofu tu. Sidhani kama tatizo hili ni kwa sababu ya Samia, bali tatizo linatoka kwa shadow president na cabinet yake.
Acha kamba wewe..nchi inaendelea kusonga bila ya Magufuli..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…