Mwanasiasa mtata
JF-Expert Member
- Oct 25, 2022
- 1,520
- 3,781
HII NCHI IMESHINDWA KUJINDESHA YENYEWE KITAMBO SANA. MADENI YANAZIDI KUPANDA. HII KUIUZA NCHI KIDOGO KIDOGO HATUTAIONA FAIDA YOYOTE ILE. KWANINI TISIWEKE TANGAZO KUWA TUNAIUZA NCHI KWA UJUMLA WAKE ILI KILA MTU APATIWE CHAKE?Lakini kama zitaendelea kufujwa kuibiwa kwa kiwango hichi huku ripoti ya CAG ikipuuzwa sioni future
Ah wapi mbwa za green guard hazina uwezo bila mabwana zao wanaobema \SMG! Jitokezeni wenyewe tu hata hizo uniform waazimeni FFU kama kawaida yenu ili tutangaze mazishi ya askari! Kunyoko! haujui kuwa bandari ni mpaka unahitaji usalama! Masaburi hayo yakijaa ubongo haufanyi kazi! |Siku yenu yaja!Security ipi ?!!!
Huna ujasiri huo....[emoji1787]
Utakapotembea kuwashawishi wananchi uasi utakutana nasi "green guard" tukiwa kikazi vichwani tumejaa "stimu" [emoji1787][emoji1787]
#MamaAnaupigaMwingi[emoji120]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwa hivyo kwa akili zao fupi wanaona agreement kutoweza kuvunjwa ni kitu kizuri?Na mambo yaliyojadiliwa leo bungeni ni yale yale ambayo yamo kwenye IGA ambayo imeenea mtandaoni.
Ninachojiuliza ni kwa nini wanataka wananchi watoe maoni yao kuhusu hiyo IGA lakini hawataki waione!
Wametoa ufafanuzi wa kifungu kwa kifungu lakini wako kimya kuhusu kifungu kinachohusu kuvinjika kwa Agreement. Kuwa piga ua Agreement haiwezi kuvunjwa!
Amandla...
HaweziiiiLINAWEZA
Ndomana wengine tulikuwa kama watazamaji haha [emoji1] tuImeisha hiyo, ukiona kitu kinapipiganiwa sana jua kuna shida sehemu
Umekuja na hili ?!!![emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo kila wanachokikataa US na kukipinga ni lazima iwe kweli kwa dunia nzima?!!![emoji15][emoji15][emoji1787]
Hivi ukiacha sisi tunaotumia bongo ninyi mnatumia viungo gani kufikiria ?!!!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Uteuzi wa ma DC ukikosa basi kaoge baharini itakuwa ukoo wenu una laana ya vizazi vinne! Wabongo wanapinga kuuzwa nchi yao kinara wao Nduguyai we unasupport?DP World itakuza na kuchochea:-
# Kukua kwa sekta za uzalishaji
# Itakuza na kuongeza ajira kwa wazawa;
# Itakuza viwanda vya ndani;
# itaongeza pato la taifa;
CCM kupitia DP World mmeipiga pabaya CDM, ACT, NCCR, CUF, UP, NLD nk. Kwa vyovyote vile CCM lzm wananchi wawaamini tena 2025 - 2030.
Hongera sana SSH Mwenyekiti wa CCM taifa.
Msakila Kabende Msakila
Kakonko.
Aisenchi inakwenda kua kitovu cha biashara ni muda vijana kujikita katika biashara kwani badae mabilionea wengi wakubwa watajengeka hapa
Nani anategemea tofauti na ulichokoment au unafikir huwa hatikuoni, madalali ya mwarabu muuza watumwa weusi mtakoment tofauti na hivyo.Mbona maelezo ni mazuri tu
umechukulia serious sana na wewe hahahahahahahahahahaComeoooooooon
Fanya kazi wewe..