Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Lakini kama zitaendelea kufujwa kuibiwa kwa kiwango hichi huku ripoti ya CAG ikipuuzwa sioni future
HII NCHI IMESHINDWA KUJINDESHA YENYEWE KITAMBO SANA. MADENI YANAZIDI KUPANDA. HII KUIUZA NCHI KIDOGO KIDOGO HATUTAIONA FAIDA YOYOTE ILE. KWANINI TISIWEKE TANGAZO KUWA TUNAIUZA NCHI KWA UJUMLA WAKE ILI KILA MTU APATIWE CHAKE?
 
Security ipi ?!!!

Huna ujasiri huo....[emoji1787]

Utakapotembea kuwashawishi wananchi uasi utakutana nasi "green guard" tukiwa kikazi vichwani tumejaa "stimu" [emoji1787][emoji1787]

#MamaAnaupigaMwingi[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ah wapi mbwa za green guard hazina uwezo bila mabwana zao wanaobema \SMG! Jitokezeni wenyewe tu hata hizo uniform waazimeni FFU kama kawaida yenu ili tutangaze mazishi ya askari! Kunyoko! haujui kuwa bandari ni mpaka unahitaji usalama! Masaburi hayo yakijaa ubongo haufanyi kazi! |Siku yenu yaja!
 
Hii INSHU ya Bandari yetu kupewa WAARABU mbona “SINTOFAHAMU” ni nyingi sana…nini KINAENDELEA tafadhali?? [emoji3166]
 
Na mambo yaliyojadiliwa leo bungeni ni yale yale ambayo yamo kwenye IGA ambayo imeenea mtandaoni.

Ninachojiuliza ni kwa nini wanataka wananchi watoe maoni yao kuhusu hiyo IGA lakini hawataki waione!

Wametoa ufafanuzi wa kifungu kwa kifungu lakini wako kimya kuhusu kifungu kinachohusu kuvinjika kwa Agreement. Kuwa piga ua Agreement haiwezi kuvunjwa!
Amandla...
Kwa hivyo kwa akili zao fupi wanaona agreement kutoweza kuvunjwa ni kitu kizuri?

That is precisely the problem.
 
Umekuja na hili ?!!![emoji1787][emoji1787]

Kwa hiyo kila wanachokikataa US na kukipinga ni lazima iwe kweli kwa dunia nzima?!!![emoji15][emoji15][emoji1787]

Hivi ukiacha sisi tunaotumia bongo ninyi mnatumia viungo gani kufikiria ?!!!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

Huko nilishapita. Imani yangu inanifundisha to operate above devil's line. Shetani na agents wake hawezi kukulazimisha utende dhambi wanakushawishi tu. 1John 4:4

Wako wanaodhania baada ya Azimio la Bunge hili kutoa baraka kwa huu nchakato mambo ni nserereko tu. Sio hivyo hata kidogo wako mpaka wafagizi wa TPA na wote walio nyuma yao kwa utegemezi wanajiuliza tutaishi ishije kazi zipo in dailema.
 
DP World itakuza na kuchochea:-
# Kukua kwa sekta za uzalishaji
# Itakuza na kuongeza ajira kwa wazawa;
# Itakuza viwanda vya ndani;
# itaongeza pato la taifa;

CCM kupitia DP World mmeipiga pabaya CDM, ACT, NCCR, CUF, UP, NLD nk. Kwa vyovyote vile CCM lzm wananchi wawaamini tena 2025 - 2030.
Hongera sana SSH Mwenyekiti wa CCM taifa.

Msakila Kabende Msakila
Kakonko.
Uteuzi wa ma DC ukikosa basi kaoge baharini itakuwa ukoo wenu una laana ya vizazi vinne! Wabongo wanapinga kuuzwa nchi yao kinara wao Nduguyai we unasupport?

Hivi Kakonko ni mpakani na nchi Gani utakuwa mzamiaji I guess not a citizen by birth!
 
Back
Top Bottom