Dodoma Chang'ombe ndio home

Ah aise shukran brother, nlikuwa cna ufahamu juu ya ilo.naitoa brother, ntafata ushauri wako.brothers forever
 
Kwani shule zimefungwa? Dogo anatafuta Penpal
 
Niaje Dingile?
Mwana Hapa Jf Huwaga Kuweka Real Pics Ni Soo Bro.
Weka Avatar Ya Mtu Yeyote Na Badili Jina Lak La Ukweli.
Maana Wenye Kaya Wapo Humu Wanatafuta Wale Waponda Kaya.
So Ukiweka Kama Hivyo Jina Lako Real, Pics Real, Ukiharibu Inakuwa Simple Kukunyaka Broh.
Thats Why Unaona Wote Humu Tuna Avatar Za Watu Wengine Bro

Anyway Nipo Uku Eastzoo Ushafikaga?
 
Ah aise shukran brother, nlikuwa cna ufahamu juu ya ilo.naitoa brother, ntafata ushauri wako.brothers forever
halafu nikwambie nini mwana, achana na hii ID unayotumia sasa cos zoezi la kubadili ID ni complicated sana, mpaka uwasiliane na wahusika wa jf.

la muhimu create ID mpya na tumia jina fake, usitumie jina lako halisi. pia usipost picha zako jf. kupost picha yako jf ni kosa kubwa ambalo litakuja kukugharimu siku moja. kuna watu wanaweza kuzitumia kukufanyia bullying au jambo lolote baya.

jf sio sawa na facebook au instagram.
 
Mi nipo four ways hapa uwanja wa swai, mbona ungeniuliza jf ningekujibu kuwa hatuendi hiv,Unakuja kutudhalilisha tuonekane wagogo wote washenzi,NAOMBA RADHI kwa ajili ya ndg yangu huyu wa ukae Clement paul

Hahahahah wewe
 

Mtafute Kiduku Lilo tajiri wa jf anainua maisha ya watu wengi
 
Watu Wa chang'ombe hatunaga mambo Kama haya yako yani we umejiunga tangu 2016 halafu bado folena?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume wa jf!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…