Clement paul
Member
- Oct 27, 2016
- 88
- 68
- Thread starter
- #101
Ah aise shukran brother, nlikuwa cna ufahamu juu ya ilo.naitoa brother, ntafata ushauri wako.brothers foreverNgoja nikwambie kitu:
Humu huwa hatuweki avatar (profile picture) za sura zetu halisi, ili kulinda utambulisho wetu, vile vile hata majina tunayotumia sio halisi na hata namba za simu hatuweki wazi pia. Hiyo yote ni kwa ajili ya kujilinda kwani kuna watu wa aina zote na ni mwendo wa kuangalia nani kaharibu nini. So kuweka hivyo vitu halisi ni kuwarahisishia wenye kazi zao endapo utaharibu waweze kukunyaka kirahisi sana. So fuata ushauri wangu. Anzia kuondoa/kubadili hiyo picha yako halisi kisha omba kubadilisha jina. Kwenye App yako kuna sehemu ya kutuma msg kwa mtu umtakae, hiyo pia unaweza kuitumia kwa ajili ya kutuma msg kwa mtu mmoja mmoja, huko pia unaweza kumtumia namba za simu unaeelewana nae na sio kuweka namba zako wazi. You will thank me later! (Utanishukuru baadae).